BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Katika pita ZANGU mitandaoni, nikakuta HABARI ya TFF WAASI kuhusika na mambo ya mauaji, Sasa kilicho niacha hoi ni comments za waja.
HABARI inasema, kiongozi wa kikosi cha TFF waasi adai kuhusika na mauaji mbeya,
MTU ana comment hivi,
1. Heee, Walace karia NAE ana kikosi KAZI, hi Isha kuwa hatari.
2. MBONA sijamuona wambura,(msemaji WA TFF) akizingumza na waandishi WA HABARI?
3. Huenda alieuliwa alikua ana kwamisha mipango ya afcon.
4. Tunaogopa kwenda viwanjani kuhofia, USALAMA WETU, kama SHIRIKISHO nalo Lina kikosi KAZI
5. FIFA Iingilie Kati.