Lugha kali za matusi huko katika mtandao wa X, ni ishara tosha Kuwa watu wamechoka

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.

Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.

Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.

Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola

Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.

Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.

Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?

Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?

Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.

NB: Tujiandae kisaikolojia kupokea taarifa za mtandao wa X siku moja kufungiwa hapa nchini iwapo hali hii itaendelea kwani spana zinazopigwa sio za nchi hii.
 
Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.

Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.

Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.

Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola

Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.

Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.

Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?

Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?

Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.
Hata humu jamiiforums kuna wanaotukana tena kwa namna ya kudhani wanadhalilisha mtu kwa jinsi yake baada ya kushindwa kujibu hoja.
 
Breach of Allegiance is a serious crime to any Nation.
 
Ata wao viongozi wanawatukana sana wananchi indirect way. Kwaiyoo ngoma droo.
Mimi naona huu ndio mwanzo wa matusi mazito ya nguoni unless wanajirekebisha.

Nasisitiza matusi ni mazito yaani unasoma mpaka unasisimka hasa ukiangalia hadhi ya huyo kiongozi alietukanwa na hadhi ya viongozi wa ile taasisi inayotumika kunyannyssa raia ambayo viongozi wake hao wametukanwa matusi mazito sana huko katika mtandao wa X.
 
Nenda X tafuta habari ya kifo cha yule polisi wa mtwara, ukiipata fungua comments

Kama una moyo mdogo unaweza ukalazwa
Lakini siku zilipotoka ajira za polisi, mpaka server zinazidiwa, ila kila kukicha watu wanasema hawataki ajira za polisi.
 
Dah Twitter 🙌
 
Attachments

  • Screenshot_20250411_220500.jpg
    Screenshot_20250411_220500.jpg
    85.3 KB · Views: 32
Kweni kufanya Reforms kwenye mfumo wetu wa uchaguzi ni mpaka tumwage damu? Hawa viongozi mbona ni kama wamelewa madaraka?

makangwane-2-use-.jpg
e8615540-0dab-4066-8319-daf548b1cad5-1.jpg
 
Back
Top Bottom