Lugha kali za matusi huko katika mtandao wa X, ni ishara tosha Kuwa watu wamechoka

Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.

Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.

Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.

Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola

Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.

Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.

Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?

Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?

Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.

NB: Tujiandae kisaikolojia kupokea taarifa za mtandao wa X siku moja kufungiwa hapa nchini iwapo hali hii itaendelea kwani spana zinazopigwa sio za nchi hii.

View: https://youtu.be/V7eQ8eTJs5Q?si=uNS8QIACDQjOREYy
 
Hao ki vichaa km vichaa wengine wapelekwe Mirembe kutibiwa.
 
Dada yetu mangekimambi alishatususa sasa tumeanz kuamka wenyew ee
 
Back
Top Bottom