Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
- Thread starter
- #21
Duh! Hii nilikuwa sijaiona. Mtandao wa X unaweza kufungiwa maana tunakokwenda sijui kama watawala wataweza kuvumilia.Dah Twitter 🙌

Hamna kitu kama hicho, wewe na hao ni keyboard warriors.Sasa ndipo utakapofahamu kwanini yule Mwamba (Hamza) aliamua kufanya vile. Hamza hatuko nae lkn kaotesha mbegu na imeshaanza kustawi.
Screenshot au weka majina ya hizo page na sie twende..napenda sana kuona watu wanatoa hisia zao, ili watawala waone maujinga yaoSiku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.
Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.
Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.
Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola
Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.
Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.
Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?
Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?
Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.
Usimfananishe Hamza na wapuuzi wa mitandaoni, Hamza hakuwa keyboard warriors kama Hao Wa huko x.Sasa ndipo utakapofahamu kwanini yule Mwamba (Hamza) aliamua kufanya vile. Hamza hatuko nae lkn kaotesha mbegu na imeshaanza kustawi.
Aisee nikajua Mimi Tu ndo situmii X kumbe tupo WENGI.Watatukanwa sana tu,ungetuwekea hapa tuone maana wengine hatupo huko.
Silaha ya mtu muoga ni matusi!Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.
Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.
Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.
Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola
Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.
Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.
Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?
Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?
Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.
NB: Tujiandae kisaikolojia kupokea taarifa za mtandao wa X siku moja kufungiwa hapa nchini iwapo hali hii itaendelea kwani spana zinazopigwa sio za nchi hii.
Tupo wengi mkuuAisee nikajua Mimi Tu ndo situmii X kumbe tupo WENGI.
Na maneno au "Neno" ndilo lililoumba ulimwengu huu unamoishi. Soma👇Ukiwa mgeni kwenye mitandao utadhani kuna machafuko, ingia clubhouse ndio kabisa lakini ki uhalisia haipo hivyo. Maneno tu hayo
Gentleman,Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.
Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.
Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.
Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola
Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.
Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.
Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?
Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?
Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.
NB: Tujiandae kisaikolojia kupokea taarifa za mtandao wa X siku moja kufungiwa hapa nchini iwapo hali hii itaendelea kwani spana zinazopigwa sio za nchi hii.
Jidanganye na vimistari vyako hivyo, wewe ni wale wale tu keyboard warriors.Na maneno au "Neno" ndilo lililoumba ulimwengu huu unamoishi. Soma👇
Mwanzo 1:3, 6, 9, 11, 14, 20, 24 SUV
Mungu akasema, "....Iwe nuru..", ikawa nuru....
Mungu akasema, "...Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji", ikawa hivyo....
Mungu akasema, "....Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane..", ikawa hivyo.
Mungu akasema, "....Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi...;" ikawa hivyo.
Mungu akasema, "....Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka...", ikawa hivyo..
Mungu akasema, "....Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu..", ikawa hivyo..
Mungu akasema, "...Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake...", ikawa hivyo.
##Hiyo👆👆👆 ndiyo nguvu ya maneno. Na hiyo nguvu Mungu kaiwekeza ndani ya mwanadamu maana alituumba kwa mfano wake, kwa sura yake Ili tuwe na uwezo wa kufanya kama afanyavyo yeye...
##Katika ulimi (kinywa) cha mwanadamu ndipo mlimo na UZIMA au MAUTI kupitia maneno yake anayosema au kutamka kila siku...
##Usemacho kupitia kinywa chako consistently, ndicho kinachotokea .
Lakini mitaani watu wanalaani hicho kitendo cha Lisu kukamatwa ,by the way mitando ndio ni litmus pepper ya nchi kujua reaction za wananchi maana wengi sababu za ajira ,biashara na maslahi binafsi they can't condemn this practice openly kwa sababu nao wakijulikana kwa mazingira kama haya wanajua nini kitawakuta .Ukiwa mgeni kwenye mitandao utadhani kuna machafuko, ingia clubhouse ndio kabisa lakini ki uhalisia haipo hivyo. Maneno tu hayo
Wa mitaani na mitandaon ndio hao hao mbonaLakini mitaani watu wanalaani hicho kitendo cha Lisu kukamatwa ,by the way mitando ndio ni litmus pepper ya nchi kujua reaction za wananchi maana wengi sababu za ajira ,biashara na maslahi binafsi they can't condemn this practice openly kwa sababu nao wakijulikana kwa mazingira kama haya wanajua nini kitawakuta .
Duh 🙄 !Kama watawala hawaoni hasira zinatafuta mlango WA kutoka!!!! Wasijesema hatujawaambia.
Time shall tell
Ukiwa mgeni kwenye mitandao utadhani kuna machafuko, ingia clubhouse ndio kabisa lakini ki uhalisia haipo hivyo. Maneno tu hayo
Wakikusikia wale jamaa wa CCM wenye kutengenezea kashfa watu na kuwatangaza mitaani hawatakuelewa kabisaaaa 😱😳 !Silaha ya mtu muoga ni matusi!