Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
Matusi ni mazito sana tena sana.Watatukanwa sana tu,ungetuwekea hapa tuone maana wengine hatupo huko
Hata humu jamiiforums kuna wanaotukana tena kwa namna ya kudhani wanadhalilisha mtu kwa jinsi yake baada ya kushindwa kujibu hoja.Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.
Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.
Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.
Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola
Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.
Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.
Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?
Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?
Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.
AiseeMatusi ni mazito sana tena sana.
Mimi naona wacha na wao wapate machungu labda wataanza kufikiria mara mbili mbili kabla ya kubariki au kufanya ushetani wanaoufanya kwa raia.Hata humu jamiiforums kuna wanaotukana tena kwa namna ya kudhani wanadhalilisha mtu kwa jinsi yake baada ya kushindwa kujibu hoja.
Breach of Allegiance is a serious crime to any Nation.Siku ya jana kijana mmoja muathirika wa vitendo vya utekaji alitoa lugha kali na ya matusi mazito dhidi ya taasisi fulani na viongozi wake akijibu taarifa waliokua wameitoa kwa umma kupitia mtandao wa x.
Leo tena, mtu mwingine katoa tusi zito dhidi ya kiongozi mkubwa sana(sitamtaja hapa) akijibu post fulani ya kiongozi huyu kwa umma.
Ninahakika wanatamani kufuta hiyo comment lakini hawana huo uwezo na hakika ni fedheha kubwa sana kwa huyo kiongozi.
Hoja yangu hapa si kujadili haya matusi, bali ni kuonya wenye mamlaka kuwa hao watu wachache wanawakilisha hisia za mamilioni ya watanzania juu ya namna gani watanzania wanavyopokea matendo mabaya yanayofanywa na watawala kwa kutumia vyombo vya dola
Ni wazi watu katika vifua vyao, wamebeba chuki, hasira na machungu ya hali ya juu ambapo wanatumua mitandao ya kijamii kutoa hasira na machungu waliyonayo.
Hata hivyo, hatari iliyopo ni kwamba, kuna siku watu hawa wanaweza kuamua kutoa hasira na machungu yao kwa njia tofauti na yenye hatari kubwa kwa wabaya wao na hata nchi kwa jumla.
Najiuliza: watoto, ndugu, jamaa na marafiki wa viongozi hawa wakubwa wa kitaifa na wa taasisi hizo za usalama, wanajisikiaje wakisoma matusi yale mazito yaliyoelekezwa kwa viongozi hawa?
Na je, viongozi hawa baada ya kusoma jinsi walihyotukanwa, wako huru kujitokeza mbele ya raia au wanajisikia fedheha tu?
Lissu yuko mahabusu, lakini nina uhakika waliompeleka mahabusu ndio wanateseka zaid japo wao wako uraiani.
Mimi naona huu ndio mwanzo wa matusi mazito ya nguoni unless wanajirekebisha.Ata wao viongozi wanawatukana sana wananchi indirect way. Kwaiyoo ngoma droo.
Lakini siku zilipotoka ajira za polisi, mpaka server zinazidiwa, ila kila kukicha watu wanasema hawataki ajira za polisi.Nenda X tafuta habari ya kifo cha yule polisi wa mtwara, ukiipata fungua comments
Kama una moyo mdogo unaweza ukalazwa
Bi. Mkubwa nae leo kapewa tusi zito sana baada ya ku-post picha fulani. Jamaa ka-comment kwa tusi zito kweli kweli.Nenda X tafuta habari ya kifo cha yule polisi wa mtwara, ukiipata fungua comments
Kama una moyo mdogo unaweza ukalazwa
Sasa kipi usichoolewa?Lakini siku zilipotoka ajira za polisi, mpaka server zinazidiwa, ila kila kukicha watu wanasema hawataki ajira za polisi.
Watu wamechoka. Hiyo ndio tafsiri yakeBi. Mkubwa nae leo kapewa tusi zito sana baada ya ku-post picha fulani. Jamaa ka-comment kwa tusi zito kweli kweli.
Mi ni mwanaume siwezi olewaSasa kipi usichoolewa?