Lugha kali za matusi huko katika mtandao wa X, ni ishara tosha Kuwa watu wamechoka

Sasa ndipo utakapofahamu kwanini yule Mwamba (Hamza) aliamua kufanya vile. Hamza hatuko nae lkn kaotesha mbegu na imeshaanza kustawi.
 
Ngoja Erythrocyte aje aseme matusi sio kutengeneza hoja.

Anyway, ila kwakuwa hayo matusi yanaenda kwa viongozi wa ccm atayafurahia.
 
Sasa ndipo utakapofahamu kwanini yule Mwamba (Hamza) aliamua kufanya vile. Hamza hatuko nae lkn kaotesha mbegu na imeshaanza kustawi.
Hamna kitu kama hicho, wewe na hao ni keyboard warriors.
 
Screenshot au weka majina ya hizo page na sie twende..napenda sana kuona watu wanatoa hisia zao, ili watawala waone maujinga yao
 
Sasa ndipo utakapofahamu kwanini yule Mwamba (Hamza) aliamua kufanya vile. Hamza hatuko nae lkn kaotesha mbegu na imeshaanza kustawi.
Usimfananishe Hamza na wapuuzi wa mitandaoni, Hamza hakuwa keyboard warriors kama Hao Wa huko x.
 
Silaha ya mtu muoga ni matusi!
 
Ukiwa mgeni kwenye mitandao utadhani kuna machafuko, ingia clubhouse ndio kabisa lakini ki uhalisia haipo hivyo. Maneno tu hayo
Na maneno au "Neno" ndilo lililoumba ulimwengu huu unamoishi. SomaπŸ‘‡

Mwanzo 1:3, 6, 9, 11, 14, 20, 24 SUV

Mungu akasema, "....Iwe nuru..", ikawa nuru....

Mungu akasema, "...Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji", ikawa hivyo....

Mungu akasema, "....Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane..", ikawa hivyo.

Mungu akasema, "....Nchi na itoe majani, mche utoao mbegu, na mti wa matunda uzaao matunda kwa jinsi yake, ambao mbegu zake zimo ndani yake, juu ya nchi...;" ikawa hivyo.

Mungu akasema, "....Na iwe mianga katika anga la mbingu ili itenge kati ya mchana na usiku; nayo iwe ndiyo dalili na majira na siku na miaka...", ikawa hivyo..

Mungu akasema, "....Maji na yajawe kwa wingi na kitu kiendacho chenye uhai, na ndege waruke juu ya nchi katika anga la mbingu..", ikawa hivyo..

Mungu akasema, "...Nchi na izae kiumbe hai kwa jinsi zake, mnyama wa kufugwa, nacho kitambaacho, na wanyama wa mwitu kwa jinsi zake...", ikawa hivyo.

##HiyoπŸ‘†πŸ‘†πŸ‘† ndiyo nguvu ya maneno. Na hiyo nguvu Mungu kaiwekeza ndani ya mwanadamu maana alituumba kwa mfano wake, kwa sura yake Ili tuwe na uwezo wa kufanya kama afanyavyo yeye...

##Katika ulimi (kinywa) cha mwanadamu ndipo mlimo na UZIMA au MAUTI kupitia maneno yake anayosema au kutamka kila siku...

##Usemacho kupitia kinywa chako consistently, ndicho kinachotokea .
 
Gentleman,
mihemko, ghadhabu na matusi ni utambulisho wa Chadema tangu muda mrefu sana mitandaoni. Na matusi hua ndio conclusions ya hoja ambazo zimewalemea.

hilo sio jambo jipya, unless ni mgeni huko na hapa πŸ’
 
Jidanganye na vimistari vyako hivyo, wewe ni wale wale tu keyboard warriors.
 
Ukiwa mgeni kwenye mitandao utadhani kuna machafuko, ingia clubhouse ndio kabisa lakini ki uhalisia haipo hivyo. Maneno tu hayo
Lakini mitaani watu wanalaani hicho kitendo cha Lisu kukamatwa ,by the way mitando ndio ni litmus pepper ya nchi kujua reaction za wananchi maana wengi sababu za ajira ,biashara na maslahi binafsi they can't condemn this practice openly kwa sababu nao wakijulikana kwa mazingira kama haya wanajua nini kitawakuta .
 
Wa mitaani na mitandaon ndio hao hao mbona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…