Lugha ya makondakta na madereva daladala inatia hasira, abiria tuwe wakali kukemea mmomonyoko wa maadili

Kukubwa ni kupambana umiliki usafiri wako ili kuondokana na hizo aibu.Maana tabia za makondakta wengi ni wa hovyo kuanzia uvaaji wao ,usafi na lugha.
 
Kuna konda wa Daladala za tegeta to mawasiliano nilimpiga ngumi hadi akapata kwikwi Hawa sio wa kuwachekea
Yah kwa Sasa mtaani kujua abc za mapigano ni muhimu mf hapo alipotukanwa ni unamvuta na roba mnaenda chini hadi ije winchi
 
Kupanda daladala,bajaji sijui bodaboda huna tofauti na mtu anaeishi uswailini...huko lugha chafu, uchafu wa mazingira, umbea, uvivu, chuki, wivu nk na vinavyofanana na hvyo ndio maisha Yao.

Solution jitaid by any means utoke katika hyo cycle ya maisha.. jitaid jitaid sabb huwezi wqbadilisha hao watu na hzo tabia zao sabb ishakua ni utamaduni wao...
 
Ndugu yangu, nakuelewa sanaaaa
Lugha zao kuna muda zinakwaza hasa unakuta mtu una stress na mawazo.. nakuelewa sana ndugu
 
Pole sana mkuu ila Nikuulize je ni kweli una sura mbaya kama sehemu za Siri za mwanamke au kinda alikusingizia 😃😃
 
Ihangane
 
Panda daladala za mbagara kawe au toangoma gerezani,pia lamboto gerezani.ukumbane na matusi yalioenda shule
 
Siku moja natoka mabibo nashuka ilala boma nasubili gari za makumbusho au za kawe kuja mbagara.Sasa bwana gari ya kawe ikafika nikadandia gari nipo na mzigo konda akanitukana eti we mpumbavu unaenda wapi na mzigo wako kama mwehu.Aise nilimtandika bonge la ngumi mpaka akadondoka chini gari ilikuwa imeanza kuondoka.dreva akasimamisha gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…