Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Na ukianza kuwaelewa unakaribia kufaTatizo hawa viumbe hawana formula ya kuwajua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukianza kuwaelewa unakaribia kufaTatizo hawa viumbe hawana formula ya kuwajua.
Hizo ni baadhi ya content kwenye kitabu cha women from venus men from mars, cha john gray. Hope hiki kitabu wangekuwa wanasoma watu wa jinsia zote, haya matatizo ya mahusiano yangepungua kiasi fulani hivi.Habar wana JF,
Wanawake Wana lugha zao flan hivi ambazo huwachanganya Sana wanaume wengi, unajua inakuwaje? Nakupa
Ni kweli kabisa Kaka,ni Kitabu kizuri Sana naungana na wewe Lau wanaume na wanawake wangesoma hiki Kitabu naamini tungeimarisha Sana mahusiano yetu.Hizo ni baadhi ya content kwenye kitabu cha women from venus men from mars, cha john gray. Hope hiki kitabu wangekuwa wanasoma watu wa jinsia zote, haya matatizo ya mahusiano yangepungua kiasi fulani hivi.
Huenda kutoeleweka kwao huenda ni kutokana na kikao chao na Ibilisi/shetaniMpaka leo haijulikani waliongea nini na shetani kwenye bustani ya eden, tutulie tuwe nao makini.
Ila nanyi mnatupa changamoto Sana,Maisha yatusumbue na nyie pia mtusumbue daah sio poaMkitujua ni vizuri sana.
Ni kitu kizuri, unachokifanya have your way bro.Ni kweli kabisa Kaka,ni Kitabu kizuri Sana naungana na wewe Lau wanaume na wanawake wangesoma hiki Kitabu naamini tungeimarisha Sana mahusiano yetu.
Ndo maana napenda kushare na wadau hapa dondoo kidogo kidogo,walau tupate ufahamu kidogo
Kuna ukweli juu ya Hilo ndugu yangu,nakubaliana na weweKosa kubwa tunalofanya wanaume kwa wanawake ni kuwa wakweli kwao.
Wanawake huwa hawapendi ukweli hata kidogo. Utaishi vizuri na mwanamke ukiwa unamdanganya.
Mwambie mwanamke umependeza hata kama hajapendeza.
Mwambie mwanamke nakupenda hata kama humpendi.
Mwambie mwanamke nina pesa hata kama huna.
Mwambie mwanamke umzuri hata kama sio mzuri.
Kama ni bonge sifia ubonge wake hata kama huupendi.
Kama ni kimbaumbau msifie hata kama unaboreka.
Mwambie mwanamke ni yeye tu aliyejaa moyoni mwako, wakati una timu nzima ya mpira.
Na mengineyo, wala hutapata tabu naye.
Kinyume chake mweleze ukweli kwamba:
Hajapendeza
Humpendi
Huna pesa
Sio mzuri
Yeye ni bonge nyanya
Ni kimbaumbau
Kwamba asikubabaishe una timu nzima ya mpira,
Na mengineyo, uone kitakachotokea.
Tuishi nao kwa akili.
Hivi akili anapaswa awe nazo mwanaume tuu au mpaka mwanamke?Ni hadi ujue kuishi nao kwa akili, sasa unakuta mtu akili zero
Mwanaume ndio starring/kiongozi so inabidi yeye ndo awe na akili zaidiHivi akili anapaswa awe nazo mwanaume tuu au mpaka mwanamke?
#YNWA
Nyoooo 🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo unamkataa live siyoNyoooo 🤣🤣🤣🤣🤣
Ahahahh[emoji28]Nyoooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
"Yani huyo kaka simpendi jamani" alafu akimuona na huyo kaka yupo na mwanamke mwingine anaumia roho analiaHabar wana JF,
Wanawake Wana lugha zao flan hivi ambazo huwachanganya Sana wanaume wengi, unajua inakuwaje? Nakupa mchongo ufuatao, wanachoongea Sicho wanachomaanisha na hapa ndo wanaume tunapo katishagwa tamaa na hawa