Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #41
Kweli kabisa, na Mimi nimeshawahi sikia kauli kama hiyo toka Kwa mwanamke,halafu baadae unashangaa anatembea na huyo ambaye anamsema hampendi,hatar sana"Yani huyo kaka simpendi jamani" alafu akimuona na huyo kaka yupo na mwanamke mwingine anaumia roho analia
"Yani mbona we huwapendi ndugu zangu" wakati hao ndugu zake wakilia shida huyo mwanaume ndo wa kwanza kuwasaidia.