Lugha za wanawake zinavyowachanganya wanaume

Lugha za wanawake zinavyowachanganya wanaume

"Yani huyo kaka simpendi jamani" alafu akimuona na huyo kaka yupo na mwanamke mwingine anaumia roho analia

"Yani mbona we huwapendi ndugu zangu" wakati hao ndugu zake wakilia shida huyo mwanaume ndo wa kwanza kuwasaidia.
Kweli kabisa, na Mimi nimeshawahi sikia kauli kama hiyo toka Kwa mwanamke,halafu baadae unashangaa anatembea na huyo ambaye anamsema hampendi,hatar sana
 
Hivi akili anapaswa awe nazo mwanaume tuu au mpaka mwanamke?

#YNWA
Biblia imewataka wanaume waishi na wake zao kwa akili. Ukiona ndoa haieleweki ujue mwanaume hana akili. Sio maneno yangu🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Ni rahisi kutengeneza kifaa chenye kasi zaidi ya mwanga kuliko kufahamu akili ya mwanamke.
 
Biblia imewataka wanaume waishi na wake zao kwa akili. Ukiona ndoa haieleweki ujue mwanaume hana akili. Sio maneno yangu🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hujajibu swali...

TURUDI KWENYE SWALI.

Majibu tafadhali

#YNWA
 
Biblia imewataka wanaume waishi na wake zao kwa akili. Ukiona ndoa haieleweki ujue mwanaume hana akili. Sio maneno yangu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Acha ukorofi
 
Back
Top Bottom