Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

kwahiyo chadema ilitumia pesa za lowassa aliyekuwa fisadi 2008 kujijenga.
2021 magufuli anaitwa fisadi kwa kutumia fedha za uma ktk rushwa za wabunge.

2035 magufuli anawezakuwa rais anayetajwa kama shujaa na chadema,kama itaendelea kuwapo.
chadema ina uwezo mkubwa sana wa kugeuka geuka kwa nyakati.
Kuna tofauti kubwa sana hapo. Ni kama unamwambia mwizi arudishe alichoiba ili kifanye kazi halali. Ni ile kitu alifanya Magufuli, Shida tu ni kwamba alibambikiza kesi, halafu unamwambia mtu akiri halafu arudishe fedha.

Magufuli anaiba, anahonga, nyie ccm mnaona ni halali, kwa sababu nyie ni chama cha mafisadi. Sisi tunaona hapa na, lazima apigiwe kelele za mwizi! Mwizi! Mwizi huyo! Kamata mwizi huyo!
Lowassa kama aliiba huko nyuma, hakukamatwa na wala hamkumfungulia kesi, basi arejeshe walau sehemu ya fedha kwa wananchi, ndio hivyo mkuu.
 
Mbona mnateseka sana?

JPM aliwagaragaza akiwa hai, na atawagaragaza akiwa marehemu!

Fikiria mpaka sasa hivi hakuna la maana mnalofanya zaidi ya kupambana na marehemu!

2025 itafika bado mnapambana na marehemu, sasa hivi mmechukua nafasi ya uvccm sasa mnasifu na kuabudu kwa ajili ya Samia wa ccm [emoji23][emoji23][emoji23]

Tuko hapa, tutakuja kukumbushana ikifika oktoba 2025, kwa akili zenu mnaona kama mbali!

Ni kama kipindi cha Magufuli tulikuwa tunawashauri badala ya kupoteza muda kujadili kingereza cha Magufuli huo muda mngeutumia kudai uhuru wa zile taasisi mnazosemaga zinawanyima kura.

Sasa mnarudia ujinga ule ule, badala ya mumuendee mama kwa utaratibu nyie mko busy kupambana na marehemu!

Aliewaroga ana dhambi sana!
Wait a minute
Hapo kwenye kinglishi chake umesababisha naanza kucheka...dah
Sijui thesis aliandikaje
 
Sasa kama hamjielewi kwanini msiibiwe?
Good! Kwa kuwa mnakiri kwamba CCM Ni chama cha wezi, mafisadi na waporaji, angalau mkipewa dozi mtapona. Hatua ya kwanza ni kujikubali kwamba una matatizo. Wizi ni ugonjwa kama magonjwa mengine, ulevi wa dawa za kulevya, nk.
 
Kuna tofauti kubwa sana hapo. Ni kama unamwambia mwizi arudishe alichoiba ili kifanye kazi halali. Ni ile kitu alifanya Magufuli, Shida tu ni kwamba alibambikiza kesi, halafu unamwambia mtu akiri halafu arudishe fedha.

Magufuli anaiba, anahonga, nyie ccm mnaona ni halali, kwa sababu nyie ni chama cha mafisadi. Sisi tunaona hapa na, lazima apigiwe kelele za mwizi! Mwizi! Mwizi huyo! Kamata mwizi huyo!
Lowassa kama aliiba huko nyuma, hakukamatwa na wala hamkumfungulia kesi, basi arejeshe walau sehemu ya fedha kwa wananchi, ndio hivyo mkuu.
kwahiyo kuzitumia kenye kujenga chadema ndio kuzirudisha kwa wananchi!!!
 
Jamani tuwaache legacy fighters aka pushgang waendelee na mwaka wao wa maombolezo! Isitoshe kule kuna #timujk inawatoa kamasi jembamba, tuwahurumie ndugu zetu hawa, au mnataka waende jamuhuri ya malaika mapemaaa?!
 
kwahiyo kuzitumia kenye kujenga chadema ndio kuzirudisha kwa wananchi!!!
Tatizo mmekaririshwa kwamba kuwa mwanaccm ni uzalendo, kuwa chama cha upinzani ni usaliti. Katika miaka yote vyama vya upinzani kwa ujumla vimekuwepo bungeni, vimefanya mengi kwa maslahi ya taifa na watanzania wote. Kujenga CHADEMA ni kuwajenga wananchi, NDIO. Na ndio maana vyama vyote, kwa vigezo, hupewa ruzuku ya serikali, toka fedha za wananchi, kwa msingi kwamba kuvijenga ni kwa maslahi ya wananchi.
 
Hatarii Sana, tulionya kitambo Sana, Kitendo cha shujaa kuimaliza kazi yake ya hapa duniani na kwenda huko Kwa njia ambayo kila mmoja ataipitia, hili jukwaa tusipoangalia litakosa hoja za maana kipindi kirefu Sana,

Kipindi chake, kila alilokuwa akilisema lilionekana ni kama geni masikioni mwa wengi hasa wapinzani wake, na ndio Maana kulikuwa kunazaliwa mijadara kibao, na Kwa sasa kumebakia mijadara ya kijinga tu kama Uzi huu, si ni upumbavu tu wala hakuna hoja yoyote

Kilichobaki Kwa wandishi wengi ni zile dhihaka zisizosaidia chochote!
Hiki ndicho uliandika mwanzo. Kisichoelewwka ni kipi? Umeuponda huu uzi halafu unajifanya hamnazo
 
Tatizo mmekaririshwa kwamba kuwa mwanaccm ni uzalendo, kuwa chama cha upinzani ni usaliti. Katika miaka yote vyama vya upinzani kwa ujumla vimekuwepo bungeni, vimefanya mengi kwa maslahi ya taifa na watanzania wote. Kujenga CHADEMA ni kuwajenga wananchi, NDIO. Na ndio maana vyama vyote, kwa vigezo, hupewa ruzuku ya serikali, toka fedha za wananchi, kwa msingi kwamba kuvijenga ni kwa maslahi ya wananchi.

ni kama unajishtukia tu,wapi nimeonyesha kukariri kwamba chadema ni usaliti na kuwa ccm ni uzalendo!!!

ninachohoji hapa ni uchafu wa magufuli(ccm)kununua wabunge,na usafi wa chadema kutakatisha fedha za ufisadi kwa kuzitumia kujengea chama cha chadema.

binafsi naona wote ni matapeli wazuri,mmoja kakosa madaraka tu.lakini hata hayo machache aliyopewa anayatumia vizuti mno kujinufaisha,isipokuwa anatumia turufu ya cheo(mpinzani),kupinga anayofanya mwenzie.
 
Narudia, Lowassa hajatoa fedha kwa CHADEMA. kilichotokea, alipewa fursa ili akiadabishe chama chake cha ccm, na kuipatia CHADEMA wabunge na madiwani wengi, na kura nyingi za urais, ambazo ziliwezesha CHADEMA kupata ruzuku nyingi zaidi, na hivyo kuwatumikia wananchi vizuri zaidi.
Kama unamfananisha na Magufuli, maamuzi yako.
 
yeeeeeees,twende taratibu.

lowassa fisadi,alipewa fulsa na chadema wapinga ufisadi,akiadabishe chama chake ccm!!!
kwahiyo sera za chadema ni kuiondoa ccm,haijalishi atakuja nani kuungana nayo??awe mchafu,msafi,nk!!!
ndio maana mnapinga kila kitu,ilimradi kimefanywa na ccm[emoji23][emoji23].

huu ni upuuzi.
 
Kwani kuna ubaya gani fisadi kupambana na fisadi mwenzake? Mbona ni mechi nzuri sana. Na nikwambie, kama sio umafia wa Magufuli kutumia amri za hali ya hatari kuongoza nchi, kana kwamba nchi iko vitani, 2020 CHADEMA walikuwa wanashusha dozi ya nguvu kwa CCM.
Kumbuka upinzani wamekuwa wakiongeza uwepo wao bungeni kila uchaguzi.
Mwisho wa game, fisadi yupo kwa mafisadi wenzake. Inabidi tuwape big up CHADEMA. CHADEMA oyeeeee!!!
 
yeeeeeees,twende taratibu.

lowassa fisadi,alipewa fulsa na chadema wapinga ufisadi,akiadabishe chama chake ccm!!!
kwahiyo sera za chadema ni kuiondoa ccm,haijalishi atakuja nani kuungana nayo??awe mchafu,msafi,nk!!!
ndio maana mnapinga kila kitu,ilimradi kimefanywa na ccm[emoji23][emoji23].

huu ni upuuzi.
Ni vema kwanza kung'oa ccm , mengine yatafuata
 
Back
Top Bottom