Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,992
Kuna tofauti kubwa sana hapo. Ni kama unamwambia mwizi arudishe alichoiba ili kifanye kazi halali. Ni ile kitu alifanya Magufuli, Shida tu ni kwamba alibambikiza kesi, halafu unamwambia mtu akiri halafu arudishe fedha.kwahiyo chadema ilitumia pesa za lowassa aliyekuwa fisadi 2008 kujijenga.
2021 magufuli anaitwa fisadi kwa kutumia fedha za uma ktk rushwa za wabunge.
2035 magufuli anawezakuwa rais anayetajwa kama shujaa na chadema,kama itaendelea kuwapo.
chadema ina uwezo mkubwa sana wa kugeuka geuka kwa nyakati.
Magufuli anaiba, anahonga, nyie ccm mnaona ni halali, kwa sababu nyie ni chama cha mafisadi. Sisi tunaona hapa na, lazima apigiwe kelele za mwizi! Mwizi! Mwizi huyo! Kamata mwizi huyo!
Lowassa kama aliiba huko nyuma, hakukamatwa na wala hamkumfungulia kesi, basi arejeshe walau sehemu ya fedha kwa wananchi, ndio hivyo mkuu.