Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Kuna tofauti kubwa sana hapo. Ni kama unamwambia mwizi arudishe alichoiba ili kifanye kazi halali. Ni ile kitu alifanya Magufuli, Shida tu ni kwamba alibambikiza kesi, halafu unamwambia mtu akiri halafu arudishe fedha.

Magufuli anaiba, anahonga, nyie ccm mnaona ni halali, kwa sababu nyie ni chama cha mafisadi. Sisi tunaona hapa na, lazima apigiwe kelele za mwizi! Mwizi! Mwizi huyo! Kamata mwizi huyo!
Lowassa kama aliiba huko nyuma, hakukamatwa na wala hamkumfungulia kesi, basi arejeshe walau sehemu ya fedha kwa wananchi, ndio hivyo mkuu.
 
Wait a minute
Hapo kwenye kinglishi chake umesababisha naanza kucheka...dah
Sijui thesis aliandikaje
 
Sasa kama hamjielewi kwanini msiibiwe?
Good! Kwa kuwa mnakiri kwamba CCM Ni chama cha wezi, mafisadi na waporaji, angalau mkipewa dozi mtapona. Hatua ya kwanza ni kujikubali kwamba una matatizo. Wizi ni ugonjwa kama magonjwa mengine, ulevi wa dawa za kulevya, nk.
 
kwahiyo kuzitumia kenye kujenga chadema ndio kuzirudisha kwa wananchi!!!
 
Jamani tuwaache legacy fighters aka pushgang waendelee na mwaka wao wa maombolezo! Isitoshe kule kuna #timujk inawatoa kamasi jembamba, tuwahurumie ndugu zetu hawa, au mnataka waende jamuhuri ya malaika mapemaaa?!
 
kwahiyo kuzitumia kenye kujenga chadema ndio kuzirudisha kwa wananchi!!!
Tatizo mmekaririshwa kwamba kuwa mwanaccm ni uzalendo, kuwa chama cha upinzani ni usaliti. Katika miaka yote vyama vya upinzani kwa ujumla vimekuwepo bungeni, vimefanya mengi kwa maslahi ya taifa na watanzania wote. Kujenga CHADEMA ni kuwajenga wananchi, NDIO. Na ndio maana vyama vyote, kwa vigezo, hupewa ruzuku ya serikali, toka fedha za wananchi, kwa msingi kwamba kuvijenga ni kwa maslahi ya wananchi.
 
Hiki ndicho uliandika mwanzo. Kisichoelewwka ni kipi? Umeuponda huu uzi halafu unajifanya hamnazo
 

ni kama unajishtukia tu,wapi nimeonyesha kukariri kwamba chadema ni usaliti na kuwa ccm ni uzalendo!!!

ninachohoji hapa ni uchafu wa magufuli(ccm)kununua wabunge,na usafi wa chadema kutakatisha fedha za ufisadi kwa kuzitumia kujengea chama cha chadema.

binafsi naona wote ni matapeli wazuri,mmoja kakosa madaraka tu.lakini hata hayo machache aliyopewa anayatumia vizuti mno kujinufaisha,isipokuwa anatumia turufu ya cheo(mpinzani),kupinga anayofanya mwenzie.
 
Narudia, Lowassa hajatoa fedha kwa CHADEMA. kilichotokea, alipewa fursa ili akiadabishe chama chake cha ccm, na kuipatia CHADEMA wabunge na madiwani wengi, na kura nyingi za urais, ambazo ziliwezesha CHADEMA kupata ruzuku nyingi zaidi, na hivyo kuwatumikia wananchi vizuri zaidi.
Kama unamfananisha na Magufuli, maamuzi yako.
 

yeeeeeees,twende taratibu.

lowassa fisadi,alipewa fulsa na chadema wapinga ufisadi,akiadabishe chama chake ccm!!!
kwahiyo sera za chadema ni kuiondoa ccm,haijalishi atakuja nani kuungana nayo??awe mchafu,msafi,nk!!!
ndio maana mnapinga kila kitu,ilimradi kimefanywa na ccm[emoji23][emoji23].

huu ni upuuzi.
 
Kwani kuna ubaya gani fisadi kupambana na fisadi mwenzake? Mbona ni mechi nzuri sana. Na nikwambie, kama sio umafia wa Magufuli kutumia amri za hali ya hatari kuongoza nchi, kana kwamba nchi iko vitani, 2020 CHADEMA walikuwa wanashusha dozi ya nguvu kwa CCM.
Kumbuka upinzani wamekuwa wakiongeza uwepo wao bungeni kila uchaguzi.
Mwisho wa game, fisadi yupo kwa mafisadi wenzake. Inabidi tuwape big up CHADEMA. CHADEMA oyeeeee!!!
 
Ni vema kwanza kung'oa ccm , mengine yatafuata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…