Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Umeandika kinyonge sana.
 
Basi endelea kusubiri mungu wako akuletee tume huru ya kuiondoa ccm madarakani.

Katibu mwenezi akiona na yeye kwa maono yake inafaa anaweza kukiendeleza maana hata chanel ten ni yao ccm,

..sasa kama unajua ni vyombo vya dola mbona unafurahia dhalimu wako kufa wakati vyombo viko pale pale?
 
This is what the LORD says: "Cursed is the one who trusts in man, who depends on flesh for his strength and whose heart turns away from the LORD" Jeremiah17:05
 

Sijui hata unaoongea nini, unasema Mbowe ndio final hapo cdm, na anachosema hakuna wa kupinga, sasa kipi kilimfanya awaogope tena hao wafuasi na kumtangaza Lisu badala ya Nyalandu aliyeshinda? Na huyo Nyalandu kwanini hakufuata ngazi husika ili kulinda ushindi wake?

Cdm ni Chama cha siasa sio kikundi cha kigaidi kinachopambana kwa silaha. Hivyo jeshi linapotishia kutumia silaha dhidi ya chama kinachopambana kwa siasa, ni wazi ni mapambano yasiyo kwenye uwanja sawa. Ifahamike watu wanaikubali cdm kisiasa, na sio katika mapambano ya silaha kwani sio imani ya wafuasi wake.
 
Umeandika kinyonge sana.
Unatamani niwe mnyonge, sijawahi kuwa mnyonge hapa jukwaani maana mimi sio jizi la kura. Hapa jukwaani tena vile huku hamna mbeleko ya vyombo vya dola, nawalambisha mchanga sukuma Gang na MATAGA vibaya.
 
Unatamani niwe mnyonge, sijawahi kuwa mnyonge hapa jukwaani maana mimi sio jizi la kura. Hapa jukwaani tena vile huku hamna mbeleko ya vyombo vya dola, nawalambisha mchanga sukuma Gang na MATAGA vibaya.
Eti unawalambisha mchanga!😅
 
Mkuu Yani unavyolalamika nimecheka sana,
Kwa Sasa uchaguzi kwetu sio kipaumbele kwetu ,yapo Mambo ya msingi Sana kwa Sasa kulikochaguzi ,tutashiriki chaguzi mda mhafaka na kwa wakati muhafaka,
Jamaa hata kuandika hujui, elimu yako tafadhali? La 3 C?
 
Unatamani niwe mnyonge, sijawahi kuwa mnyonge hapa jukwaani maana mimi sio jizi la kura. Hapa jukwaani tena vile huku hamna mbeleko ya vyombo vya dola, nawalambisha mchanga sukuma Gang na MATAGA vibaya.
Bado unawaza kuibiwa kura? Pole sana😎
 
Mbowe aliamua kumtangaza Lisu baada ya kusoma upepo wa nyie wafuasi wake. Na pia alimhurumia kutoka ubelgiji mpaka huku alafu asiambulie kitu.

Basi mtaendelea kuufyata sana mkuu au endeleeni kumtegemea mungu wenu tu
 

Ndio nasubiri Mungu anipatie hiyo tume.
Hakuna maono, wakati wa dhalimu ilikuwa ni siasa za kiki za kujifanya mnawajali wananchi. Vinginevyo kama ilikuwa ni jambo lenye baraka za chama lingeendelea.


Ni kweli nafurahi ibilisi kufariki japo vyombo vya dola viko palepale, yeye alipitiliza na kujinyanyua kwa kujifanya mungu mtu, lakini saa hii yuko katikati ya moto.
 
Mbowe aliamua kumtangaza Lisu baada ya kusoma upepo wa nyie wafuasi wake. Na pia alimhurumia kutoka ubelgiji mpaka huku alafu asiambulie kitu.

Basi mtaendelea kuufyata sana mkuu au endeleeni kumtegemea mungu wenu tu

Kwahiyo kumbe Mbowe sio final kama mnavyolishana ujinga hapo kwenye chama cha majizi ya kura?
 
Kwahiyo kumbe Mbowe sio final kama mnavyolishana ujinga hapo kwenye chama cha majizi ya kura?
Bwashee Mbowe anajua kula na vipofu,! Au hujui kama hata saa mbovu kuna muda huwa inasema ukweli?
 
Lissu alisababisha shoti kwenye betri kutokana na kufunua na kufichua uchafu wote yakiwemo mauaji ya wavuvi Lubondo
 
Magufuli aliwagaragaza wapinzani? Alijigaragaza mwenyewe, ndio maana sasa hivi yupo alipo.

Tungesema Magufuli kuwagaragaza wapinzani kama wangekuwa hoi kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020. Baada ya kuwafunga mikono, miguu na midomo kwa miaka 5, tulishangaa CCM inaishia kucheza faulo kubwa, hata aibu hawana. Magufuli anawaogopa wapinzani balàa.
Tundu Lissu naye wala hakuwapo nchi ni miaka, lakini uliona kile kimbunga? Mtu mpaka anakataliwa makusudi kutua mikoa kadhaa.

Watanzania ni kweli bado hawajafikia kiwango cha kuprotest kama ilivyo Kenya na kwingineko. Angalia mfaño Palestina wanauwawa na majeshi ya Israeli, Kenya wameandamana, sisi kimyaaaa. Lakini hiyo itabadilika tu, vizazi vinabadilika. Umeona kule Myanmar?
Magufuli alikuwa mtu wa dhulma, na mama Samia kasema wazi hataki dhulma. Tunaendelea kumsoma tuone je, vitendo vyake vinaendana na kauli.
 
[emoji23][emoji23]huu ujinga siku moja utaudharau.
Mbona rushwa na hongo za Magufuli kwa wapinzani zilikuwa wazi kabisa? Watu wanachukuliwa na kupewa vyeo, fedha, utadhani ccm hakuna wanaofaa? Eti anapambana na rushwa, wakati Magufuli ndio mtoa rushwa nambari moja!
 
Mkuu usipoteze muda wako kuelimisha matope , hayataelewa , elimu uliyompa inatosha , ifahamike kwamba Lissu alishinda uraisi ule bila shaka yoyote ile .

Kwa mfano kuna kituo kimoja huku kwetu Tandika kilikuwa na wapiga kura halali 150 tu , bali waliojitokeza hawakuzidi 110 na ndio kituo kilichokuwa na watu wengi , Lissu alipata kura 73 Magufuli 26 , zilizobaki waligawana wengine , lakini nje ya kituo pakabandikwa Magufuli kura 326 Lissu 73 na haya ndiyo matokeo yaliyotumwa Tume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…