Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Lugha za wasakatonge wa awamu ya 5 zilizoyeyuka mithili ya theluji wakati wa kiangazi

Kuna jukumu la kutangaza na jambo moja, kutangaza kwa weledi ni jambo jingine.

Mungu wangu ana nguvu na atatenda kwa wakati.

Kama kipindi hakikuwa cha Polepole bali cha katibu mwenezi wa ccm mbona hakiendelei, au hicho cheo kimefutwa?

Ccm itaendelea kutupiga kwani ccm ipo au ni vyombo vya dola?
Umeandika kinyonge sana.
 
Basi endelea kusubiri mungu wako akuletee tume huru ya kuiondoa ccm madarakani.

Katibu mwenezi akiona na yeye kwa maono yake inafaa anaweza kukiendeleza maana hata chanel ten ni yao ccm,

..sasa kama unajua ni vyombo vya dola mbona unafurahia dhalimu wako kufa wakati vyombo viko pale pale?
 
This is what the LORD says: "Cursed is the one who trusts in man, who depends on flesh for his strength and whose heart turns away from the LORD" Jeremiah17:05
 
Kumbe hata mchakato wa kwenye chama chako huujui.

Iko hivi,

Wajumbe walikuwa 30 na kila mgombea alipigiwa kura kwa wakati wake.

Nayarandu akapata kura za ndiyo 30 na kura za hapana 0

Lisu akapata kura za ndiyo 24 na kura hapana 6

Nayarandu akawa amemgaragaza Lisu, lakini mbowe na watu wake kwa kuogopa wafuasi wao wakaamua kumtangaza Lisu.

.. Kwa hiyo polisi wakiwatishia mnafyata?

Sijui hata unaoongea nini, unasema Mbowe ndio final hapo cdm, na anachosema hakuna wa kupinga, sasa kipi kilimfanya awaogope tena hao wafuasi na kumtangaza Lisu badala ya Nyalandu aliyeshinda? Na huyo Nyalandu kwanini hakufuata ngazi husika ili kulinda ushindi wake?

Cdm ni Chama cha siasa sio kikundi cha kigaidi kinachopambana kwa silaha. Hivyo jeshi linapotishia kutumia silaha dhidi ya chama kinachopambana kwa siasa, ni wazi ni mapambano yasiyo kwenye uwanja sawa. Ifahamike watu wanaikubali cdm kisiasa, na sio katika mapambano ya silaha kwani sio imani ya wafuasi wake.
 
Umeandika kinyonge sana.
Unatamani niwe mnyonge, sijawahi kuwa mnyonge hapa jukwaani maana mimi sio jizi la kura. Hapa jukwaani tena vile huku hamna mbeleko ya vyombo vya dola, nawalambisha mchanga sukuma Gang na MATAGA vibaya.
 
Eti unawalambisha mchanga!😅
 
Mkuu Yani unavyolalamika nimecheka sana,
Kwa Sasa uchaguzi kwetu sio kipaumbele kwetu ,yapo Mambo ya msingi Sana kwa Sasa kulikochaguzi ,tutashiriki chaguzi mda mhafaka na kwa wakati muhafaka,
Jamaa hata kuandika hujui, elimu yako tafadhali? La 3 C?
 
Unatamani niwe mnyonge, sijawahi kuwa mnyonge hapa jukwaani maana mimi sio jizi la kura. Hapa jukwaani tena vile huku hamna mbeleko ya vyombo vya dola, nawalambisha mchanga sukuma Gang na MATAGA vibaya.
Bado unawaza kuibiwa kura? Pole sana😎
 
Sijui hata unaoongea nini, unasema Mbowe ndio final hapo cdm, na anachosema hakuna wa kupinga, sasa kipi kilimfanya awaogope tena hao wafuasi na kumtangaza Lisu badala ya Nyalandu aliyeshinda? Na huyo Nyalandu kwanini hakufuata ngazi husika ili kulinda ushindi wake?

Cdm ni Chama cha siasa sio kikundi cha kigaidi kinachopambana kwa silaha. Hivyo jeshi linapotishia kutumia silaha dhidi ya chama kinachopambana kwa siasa, ni wazi ni mapambano yasiyo kwenye uwanja sawa. Ifahamike watu wanaikubali cdm kisiasa, na sio katika mapambano ya silaha kwani sio imani ya wafuasi wake.
Mbowe aliamua kumtangaza Lisu baada ya kusoma upepo wa nyie wafuasi wake. Na pia alimhurumia kutoka ubelgiji mpaka huku alafu asiambulie kitu.

Basi mtaendelea kuufyata sana mkuu au endeleeni kumtegemea mungu wenu tu
 
Basi endelea kusubiri mungu wako akuletee tume huru ya kuiondoa ccm madarakani.

Katibu mwenezi akiona na yeye kwa maono yake inafaa anaweza kukiendeleza maana hata chanel ten ni yao ccm,

..sasa kama unajua ni vyombo vya dola mbona unafurahia dhalimu wako kufa wakati vyombo viko pale pale?

Ndio nasubiri Mungu anipatie hiyo tume.
Hakuna maono, wakati wa dhalimu ilikuwa ni siasa za kiki za kujifanya mnawajali wananchi. Vinginevyo kama ilikuwa ni jambo lenye baraka za chama lingeendelea.

Ni kweli nafurahi ibilisi kufariki japo vyombo vya dola viko palepale, yeye alipitiliza na kujinyanyua kwa kujifanya mungu mtu, lakini saa hii yuko katikati ya moto.
 
Mbowe aliamua kumtangaza Lisu baada ya kusoma upepo wa nyie wafuasi wake. Na pia alimhurumia kutoka ubelgiji mpaka huku alafu asiambulie kitu.

Basi mtaendelea kuufyata sana mkuu au endeleeni kumtegemea mungu wenu tu

Kwahiyo kumbe Mbowe sio final kama mnavyolishana ujinga hapo kwenye chama cha majizi ya kura?
 
Kwahiyo kumbe Mbowe sio final kama mnavyolishana ujinga hapo kwenye chama cha majizi ya kura?
Bwashee Mbowe anajua kula na vipofu,! Au hujui kama hata saa mbovu kuna muda huwa inasema ukweli?
 
Kwa taarifa yako mikutano ya Lisu ya kampeni tuliiona, na idadi iliyojitokeza hata dhalimu na genge lake hawakutegemea, ndio maana wakanajisi matokeo ya uchaguzi kwa kiwango cha juu, huku wakipika idadi ya wapiga kura waziwazi. Mwitikio alioupata Lisu ulichangia ugonjwa wa moyo wa dhalimu kupanda, ndio maana akawa garage kila mara wakati wa kampeni. Na hata baada ya matokeo kutoka, bado ibilisi alipoteza furaha yake, kwani matokeo ya kweli aliyajua, na kuwa watanzania wengi walikuwa hawampendi yeye binafsi na chama chake, pia aliufahamu vyema.

Kitendo cha Lisu kupata uungwaji mkono kilimuudhi sana yule shetani, hadi akaagiza atekwe maana ilimuwia vigumu kuishi na adui yake aliyekubalika kuliko yeye. Hatimaye Mungu akamuondoa muovu na kumuacha Lisu akiwa mzima.
Lissu alisababisha shoti kwenye betri kutokana na kufunua na kufichua uchafu wote yakiwemo mauaji ya wavuvi Lubondo
 
Mbona mnateseka sana?

JPM aliwagaragaza akiwa hai, na atawagaragaza akiwa marehemu!

Fikiria mpaka sasa hivi hakuna la maana mnalofanya zaidi ya kupambana na marehemu!

2025 itafika bado mnapambana na marehemu, sasa hivi mmechukua nafasi ya uvccm sasa mnasifu na kuabudu kwa ajili ya Samia wa ccm [emoji23][emoji23][emoji23]

Tuko hapa, tutakuja kukumbushana ikifika oktoba 2025, kwa akili zenu mnaona kama mbali!

Ni kama kipindi cha Magufuli tulikuwa tunawashauri badala ya kupoteza muda kujadili kingereza cha Magufuli huo muda mngeutumia kudai uhuru wa zile taasisi mnazosemaga zinawanyima kura.

Sasa mnarudia ujinga ule ule, badala ya mumuendee mama kwa utaratibu nyie mko busy kupambana na marehemu!

Aliewaroga ana dhambi sana!
Magufuli aliwagaragaza wapinzani? Alijigaragaza mwenyewe, ndio maana sasa hivi yupo alipo.

Tungesema Magufuli kuwagaragaza wapinzani kama wangekuwa hoi kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020. Baada ya kuwafunga mikono, miguu na midomo kwa miaka 5, tulishangaa CCM inaishia kucheza faulo kubwa, hata aibu hawana. Magufuli anawaogopa wapinzani balàa.
Tundu Lissu naye wala hakuwapo nchi ni miaka, lakini uliona kile kimbunga? Mtu mpaka anakataliwa makusudi kutua mikoa kadhaa.

Watanzania ni kweli bado hawajafikia kiwango cha kuprotest kama ilivyo Kenya na kwingineko. Angalia mfaño Palestina wanauwawa na majeshi ya Israeli, Kenya wameandamana, sisi kimyaaaa. Lakini hiyo itabadilika tu, vizazi vinabadilika. Umeona kule Myanmar?
Magufuli alikuwa mtu wa dhulma, na mama Samia kasema wazi hataki dhulma. Tunaendelea kumsoma tuone je, vitendo vyake vinaendana na kauli.
 
[emoji23][emoji23]huu ujinga siku moja utaudharau.
Mbona rushwa na hongo za Magufuli kwa wapinzani zilikuwa wazi kabisa? Watu wanachukuliwa na kupewa vyeo, fedha, utadhani ccm hakuna wanaofaa? Eti anapambana na rushwa, wakati Magufuli ndio mtoa rushwa nambari moja!
 
Mbowe ni nani, maamuzi ya wengi ndio mpango mzima. Nyalandu anasema alimgaragaza Lisu, idadi ya wajumbe walikuwa 30, Lisu akapata 24, unahitaji kuwa mjinga kuelewa ule utoto aliokuwa anaongea Nyalandu.

Kwani kwenye kupiga kura polisi walitangaza watashambulia watu? Hujui tofauti ya hayo mambo mawili, au hoja imekuzidi kimo?
Mkuu usipoteze muda wako kuelimisha matope , hayataelewa , elimu uliyompa inatosha , ifahamike kwamba Lissu alishinda uraisi ule bila shaka yoyote ile .

Kwa mfano kuna kituo kimoja huku kwetu Tandika kilikuwa na wapiga kura halali 150 tu , bali waliojitokeza hawakuzidi 110 na ndio kituo kilichokuwa na watu wengi , Lissu alipata kura 73 Magufuli 26 , zilizobaki waligawana wengine , lakini nje ya kituo pakabandikwa Magufuli kura 326 Lissu 73 na haya ndiyo matokeo yaliyotumwa Tume
 
Back
Top Bottom