Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

Luhaga Mpina aenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha kuwania nafasi ya Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM (NEC)

Ajitathimini alipokuwa waziri wa mifugo alichokifanya kwa wafugaji na wavuvi asidhani walisahau .Alifanya mambo ya ovyo sana kama opereshen Zagamba.wananchi hawawezi sahau
 
Huyu jamaa ni mnafiki sana Wacha wamnyooshe. Wakiwa serikalini walikopa eeh kujenga miradi sikusikia kelele eti katoka ndio anagundua mikopo ni mibaya. JPM malipo kibao alifanya nje ya bajeti iliyopangwa mfano manunuzi ya ndege ila ilionekana sio shida but ujinga ule ule ukiendelezwa na awamu hii eti ndio anapinga!!!

Nasema hivi anyooshwe na 2025 afyekwe kabisa kura za maoni. Hawa wanafiki tumewachoka, kesho akipewa uwaziri utashangaa anaanza kumpamba Tena Mama.
Mpina ni juha ambalo bado lina ndoto
 
Back
Top Bottom