HAPATI KITU HUYO UNAYEMCHEKELEA NA CHADEMA WAMESUSA UCHAGUZI KWAHIYO SUBIRI TU 2030 SASA HIVI WAACHIE WANAUME WAPAMBANE NYIE WA KIKE KAENI PEMBENIMbunge ambaye Jimbo lake bado linamdai Rais Samia, leo amechukua fomu kuomba ridhaa ya kuchaguliwa Tena, Bila kujali vitisho
View attachment 3391407
Angalizo: Sifagilii mambo ya CCM ila wakiparulana na kulogana huwa nachekelea