oko majimaji
JF-Expert Member
- Nov 11, 2016
- 846
- 2,264
Hiyo mada ina shida gani? Au ndio afya ya akili inakusumbuaHebu fikiria kila mtu akipost mada kama hizo jukwaa litakuwaje
Hiyo mada ina shida gani? Au ndio afya ya akili inakusumbuaHebu fikiria kila mtu akipost mada kama hizo jukwaa litakuwaje
Hata kwetu tunamdai vingi tuMbunge ambaye Jimbo lake bado linamdai Rais Samia,
Unajua kwamba haupoKwahiyo uchaguzi upo au haupo?
Huyu mwamba, unatishiwaje na KE nawe unanywea😄. Nilitaka nishangae huyu msukuma wa wapi??... Asikubali....wamkatae Wana kisesa tu na sio sisi wengine hatujulikani tumetoka wapi🤣
Kwahiyo uchaguzi upo au haupo?
Zamani, sasa hv kimekuwa cha kihuni...kinaishi kwa propaganda!Ccm ni chama cha watanzania wote
Utatumia mbinu gani kuuzuia?Uchaguzi upo ila ni baada ya Reforms, Kuhusu lini usiniulize maana hata mimi sijui 😀
😀🤣🤣Mtu atoke Zanzibar aje Akataze watu kuchukua form Tanganyika, Mbaya zaidi yeye kajipitisha bila kupingwa
Bado kipo mioyoni mwa watu.Zamani, sasa hv kimekuwa cha kihuni...kinaishi kwa propaganda!