Postmortem tu ndiyo inaweza sema ukweli plus dots za washangiliaji wa kifo kama akina sbuku ambaye aliandaliwa na wauaji wenzake wanajua ndiyo maana hawaishi kuropoka kuwa wanafurahi walimuua.Tatizo liko wapi?
Kama Luhaga Mpina amesema uongo suluhisho ni kukanusha huo uongo aliosema na kisha wenye kujua ukweli waweke ukweli wote hadharani, ikiwezekana watoe na Ushahidi wa nyaraka za kuaminika ili kuthibitisha ukweli wao kwa umma.
Mpina kaleta jambo ambalo hata mtanzania mpiga kura wa kijijini anajua Dkt Magufuli aliuawa na sbuku na genge lake kisa alibana mianya ya wiziUhuru ukizidi unaweza leta tahatuki kwenye jamii unapotumiaa vibaya na watu dizaini ya kina Mpina.
Nani alimuua?Mpina kaleta jambo ambalo hata mtanzania mpiga kura wa kijijini anajua Dkt Magufuli aliuawa na sbuku na genge lake kisa alibana mianya ya wizi
Wewe na genge lako mnajua ushiriki wenu bosiNani alimuua?
Walikuwa wakifanya Ugaidi na katika kufanya ugaidi huo, vielelezo vyao vilikuwa vinakinzana na Taarifa rasmi ya Serikali, kwamba Hayat alifariki kwa Ugonjwa wa Moyo. Na hata kama alifariki kwa Corona, shida ipo wapi? Kwani kufa kwa Corona ina akisi kitu gani?Sio tu yanakinzana lakini wanaotaja sababu za kifo chake wanazitaja Kama ushindi mkubwa!!!!
Ndio ina maana Uchunguzi Ufanyike.Nani alimuua?
Nani alimuua?Ndio ina maana Uchunguzi Ufanyike.
Mnaweweseka nini?
Nani Sasa alimuua? Sawa ni Mimi Kwa hiyo?Wewe na genge lako mnajua ushiriki wenu bosi
Nakuelewa kamanda.Wewe ndio huelewi!!
Unamuona Mpina kama nani pale Bungeni!!?Mbunge au zaidi ya Mbunge!!?
Mpina ni Pace maker ya Bunge hili liliojaaa Chama kimoja!!
System ni kama inamuandaa kuwa hivyo alivyo umuonavyo!!
Ishu ya kifo Cha Rais ni ishu nyeti ukiona anaiongelea ujue ana baraka ya mfumo kuiongelea!!
Na kama system ikiwa serious utaona impact yake Kwa mwenendo was serikali hii!!
Kuna jambo linahalalishwa kufanyika kupitia hiyo move!!
Kwani we hujui "unatumika Ili uje uondolewe baada ya kutumika"
Nawaza kwa sauti!!
Walio wengi kina nani Sasa? Basi sawa Mwenyekiti atakuwa MpinaWatanzania walio wengi wanataka kifo kichunguzwe, wamekosa tu mahali pa kusemea.
Mpina ana hoja! Kitu hujui Achana nachoMagufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Huyo mke wake alitamka wapi na lini? Unaweza kutuwekea chanzo?This is stupid kwa kuwa hata mkewe amekataa allegation hii.Huu ni uzushi.
Halafuu,tatizo ni nini,si iundwe timu ya uchunguzi,ikiona hakuna foul play si basi the issue has been laid to rest.Kwa nini kunakuwa na kiguvumizi kwenye uundwaji wa tume?This clearly indicates there is something to hide.
Ile I'd ya The Sunk Cost Fallacy 2 Bado unatumia?Walio wengi kina nani Sasa? Basi sawa Mwenyekiti atakuwa Mpina
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM
Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,
labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume
Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua
Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa
Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa
Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.
Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Nipe hoja yoyote aliyotaja inayoonyesha kifo kilikua na utataMpina ana hoja! Kitu hujui Achana nacho
Covid , ni watu wengi walikufa dunia nzima sio Tanzania tuKuna viongozi wakubwa na mashuhuri walikufa kama wanane wa kwanza wakifuatana ndani ya miezi miwili huku wengine wakiachana siku mbili na wengine wiki
Kuna mengi sana yalitokea ila Mungu awalaze pema na sisi sio wa kuhukumu
Yapite tu maana hatuna utaratibu wa kusema ukweli
HakikaCovid , ni watu wengi walikufa dunia nzima sio Tanzania tu