Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

Wewe ndio huelewi!!

Unamuona Mpina kama nani pale Bungeni!!?Mbunge au zaidi ya Mbunge!!?

Mpina ni Pace maker ya Bunge hili liliojaaa Chama kimoja!!

System ni kama inamuandaa kuwa hivyo alivyo umuonavyo!!

Ishu ya kifo Cha Rais ni ishu nyeti ukiona anaiongelea ujue ana baraka ya mfumo kuiongelea!!

Na kama system ikiwa serious utaona impact yake Kwa mwenendo was serikali hii!!

Kuna jambo linahalalishwa kufanyika kupitia hiyo move!!

Kwani we hujui "unatumika Ili uje uondolewe baada ya kutumika"

Nawaza kwa sauti!!
🤣 🤣 🤣
 
Siungi mkono kuwa akamatwe ajibiwe kwa hoja tu.

Acha hiyo movement ianze pia ndio zitaibuliwa kesi nyingine pending na madhila mengine yaliyofanyika wakati huo na serikali kama imefumba macho.

Tujue ukweli kuhusu Ben Saanane na Azory Gwanda.

Kufariki kwa Leopold Lwajabe.

Kutekwa na kuteswa kwa Roma Mkatoliki(huyu alikimbilia uhamishoni kabisa hadi leo baada ya kuachiwa huru) , Mohamed Dewji

Pia tufahamu waliokuwa nyuma ya shambulio la Tundu Lissu pale Dodoma .

Uvamizi wa studio za Clouds Media Group

Na wafungwa wote wa kesi za kisiasa kuanzia 2016 mchakato wa kuzisikiliza uanze kwa kasi.

Pesa za plea bargain zilizokuwa zinachepushwa benki za Uchina (2019 na kuendelea ) kama alivyosema Samia mwaka jana.

Waliokuwa nyuma ya kesi za uhujumu uchumi ambazo DPP baadae aliweka mpira kwapani na kutimua mbio(hapa tuangalie namna gani wahusika waliochafuliwa majina yao wanarudishiwaje "reputation" zao kwenye jamii japo wengi baada ya kusota gerezani walipoachiwa walienda kuishi uhamishoni.

Familia za waliopoteza maisha kwenye ule "Ushenzi" mkuu 2020.

Na kesi nyingine nyingi ambazo hazikuwahi kutangazwa kutoka na ile sheria kandamizi ya mawasiliano ambayo ilipita kwa hati ya dharura ili kufanikisha mikakati ya watu wachache naamini watu watajitokeza.

Naamini tunatakiwa kuliita koleo kwa jina lake sio kijiko kikubwa .
🗼🛡️
 
Ilitumikankufanya Ugaidi. Hiyo Fallacy 2 ilikuwa na Fallacy 1.

Chini ni moja ya mjadala hapa jamvini. Na mnukuu mhudhuri mmoja hapa...

"Kwenye ishu ya Corona wakati dunia nzima ikijifungia na kufata njia isiyo sahihi kushughulika na janga lile.

Baba yetu Magufuli alisimama kama kiongozi akaja na njia ambayo dunia nzima sasa inaifata kwenye kukabiliana na corona.

Naamini hata kwenye hii ishu ya mafuta, Magufuli angekuja na njia sahihi ya kusaidia watu wake wasiteseke na ugumu wa maisha unaosababishwa na gharama za mafuta kuwa juu. Angetafuta njia sahihi za kumlinda mwananchi asiumizwe na kupanda kwa bei za mafuta

Magufuli alikuwa na maono sana na aliwapenda watu wake hakutaka kuona wanateseka. Angetuvusha"

Chini ni majibu ya ChoiceVariable aka The Sunk Cost Fallacy

Ona Ugaidi wao na Utata waliouzusha na kifo chake.
Mkuu ukiona mtu unaye mdhania kuwa yuko timamu amekaza mishipa ya shingo akitaka kugeuza maneno ya mtu aliyejiita kuwa ni kichaa na wandani wake huyo kichaa wakadhibitisha kuwa ana cheti cha Mirembe, inaleta mashaka makubwa juu ya utimamu wahuyo anayeshupaza shingo! Sio ajabu tukawa tunabishana hapa na wamirembe!
 
Huyo mke wake alitamka wapi na lini? Unaweza kutuwekea chanzo?
Aliongea ila isingeweza kuwa recorded for obvious reasons.Hata hivyo narudia, iundwe tume if there is nothing to hide,ikionekana there is nothing to hide the issue will have been laid to test.For now wananchi kama mimi hatuna uhakika na nini hasa kilitokea,hasa ukizingatiwa ushuhuda wenye utata wa Mabeyo.
 
Kwa mtazamo wangu sioni kama ni vizuri kusherehekea miaka 3 ya kuwa raisi ilhali unajua kabisa uraisi wako umeupata kingekewa baada ya kufariki aliyekuwa rais wako wewe ukiwa makamu wake na hata kwenye kumbukizi ya kifo chake hakuwahi kwenda zaidi ya kutuma mwakilishi
 
Hata mimi namshangaa huyo jamaa,
Kwanini hawataki mawazo mbadala?
Kwanini hawataki watu wawe na fikra huru?
Kwanini wanataka watu wa hewala hewala tu kama makondoo?
Bado wanamawazo ya enzi za TANU 1954 zidumu fikra za mwenyeki vilaza hawa
 
Kwa mtazamo wangu sioni kama ni vizuri kusherehekea miaka 3 ya kuwa raisi ilhali unajua kabisa uraisi wako umeupata kingekewa baada ya kufariki aliyekuwa rais wako wewe ukiwa makamu wake na hata kwenye kumbukizi ya kifo chake hakuwahi kwenda zaidi ya kutuma mwakilishi
Ngekewa peke yake?
 
Wewe ndio huelewi!!

Unamuona Mpina kama nani pale Bungeni!!?Mbunge au zaidi ya Mbunge!!?

Mpina ni Pace maker ya Bunge hili liliojaaa Chama kimoja!!

System ni kama inamuandaa kuwa hivyo alivyo umuonavyo!!

Ishu ya kifo Cha Rais ni ishu nyeti ukiona anaiongelea ujue ana baraka ya mfumo kuiongelea!!

Na kama system ikiwa serious utaona impact yake Kwa mwenendo was serikali hii!!

Kuna jambo linahalalishwa kufanyika kupitia hiyo move!!

Kwani we hujui "unatumika Ili uje uondolewe baada ya kutumika"

Nawaza kwa sauti!!
Pointless
 
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,

labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume

Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua

Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa

Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa

Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.

Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Badilisha kichwa cha habari iwe hivi “Aliyekuwa Makamu wa Rais kipindi Dkt Magufuli anafariki akamatwe ahojiwe maana alikiri kuupata urais kwa kudra za mwenyezi mungu kwa sababu alijua rais aliyepo madarakani akifa yeye atakuwa rais kupitia kijitabu chenye vikaratasi cha katiba”
 
Back
Top Bottom