Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,

labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume

Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua

Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa

Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa

Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.

Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Wewe nani kutusemea. Acha Inyeshe tuone panapovuja
 
Hofu yako juu ya uchunguzi wa kifo cha Magu ni nini? Mpaka uwe na chuki na mpina
 
Mpina, anatapatapa, anajua bungeni harudi ni mfa maji haachi kurusha mateke!
Mpina gani harudi bungeni? Unajua ni karibu awe waziri mkuu ni sababu ya ukanda ya ziwa ndio maana ikaonwa si vyema wakanda wawili kushika top position? Usimchukulie the guy kwa wepesi…… anaweza kuwa zaidi ya mbunge, ashindwe vipi kuwa mbunge???
 
Time shall tells!
 
Kashauri tume yauchunguzi iundwe ndo ije na majibu.sasa wewe ndo tume?.kwani kunashida gani tume ikiundwa,au mnaogopa nini kifo cha Jpm kikichunguzwa?..Kwenye hii dunia lolote linawezekana kwahiyo acha wanaojua kudai haki za wapendwa wao wafanye hivyo.
 
hata mkewe amekataa allegation hii.Huu ni uzushi.
Acha kuleta taharuki, mke wake lini amesema haya? Mabeyo mwenyewe kakiri ni moyo huyo mke wake ni daktari au jasusi hadi ajue kilichomuua sio moyo?
Halafuu,tatizo ni nini,si iundwe timu ya uchunguzi,ikiona hakuna foul play si basi the issue has been laid to rest.Kwa nini kunakuwa na kiguvumizi kwenye uundwaji wa tume?This clearly indicates there is something to hide.
Hakuna kigugumizi maana miaka zaidi ya 10 anatumia pacemaker, alishadondoka mara kibao kwa matatizo ya moyo both Pemba na kule Lindi hadi akapotea wiki mbili. So ilikua ni kawaida yake kupata hizo heart attacks za ghafla which is unfortunate.

Ila angekua mzima alafu sijui kafariki kwa saratani au kidney failure au ajali tungesema kuna foul. Na tatizo la waTanzania hata tume ingesema alifariki kwa moyo bado mngebisha tu. So kuepuka controversy hakuna haja ya uchunguzi.

Ila kwa issue kama ya Lissu ipo direct kwamba alipigwa risasi so uchunguzi ukidaiwa ni sawa ila eti Lowassa kafariki tudai uchunguzi?? Kwa utata upi?
 
Ikiwa tu mmempangia hivyo, otherwise kwa Mpina siasa ya jimboni ni nyepesi sana kwake, kwenye vikao vyenu najua mnafahamu……
Mbona aliangushwa ujumbe wa NEC mkoa na taifa? The guy is overrated ila hamna lolote. Hata 2021 JPM alimtosa kwenye baraza la mawaziri sasa huo uwaziri mkuu angepewa lini?

Mpina harudi 2025 tupo hapa, hata akikimbilia ACT ndio kwisha hapati hata kura elfu 5!!
 
Aliongea wapi? Kama haikurekodiwa wewe ulijuaje? Huo utata wa Mabeyo ni upi?
Mbona swala la kuundwa tume unalikwepa?Na utata wa maneno ya Mabeyo kila mtu aliuona wala sina haja ya kuongelea.Kuhusu mkewe kukataa kwamba Magufuli hakufa kwa ugonjwa wa moyo ni common knowledge wala nayo sina haja ya ku-dive into it.Jambo la msingi ni kuundwa tume ya uchunguzi independent.Narudia kutoundwa tume hiyo kunathibitisha kuna jambo la kuficha.Narudia kazi ya tume huru ni to lay the issue to rest.
 
Kashauri tume yauchunguzi iundwe ndo ije na majibu.sasa wewe ndo tume?.kwani kunashida gani tume ikiundwa,au mnaogopa nini kifo cha Jpm kikichunguzwa?..Kwenye hii dunia lolote linawezekana kwahiyo acha wanaojua kudai haki za wapendwa wao wafanye hivyo.
Mtu mgonjwa miaka 20 mnachunguza nini? Hata asingeuwawa huwezi ukatoboa kwa pacemaker milele ingekuja kuzima tu siku moja!! Cha ajabu mlikua mnamdhihaki lowassa ni mgonjwa kumbe JPM alikua worse eti leo ametangulia ndio mnadai kauwawa?

Punguzeni ujuaji, kama mlikua hamjui anatumia pacemaker miaka yote hiyo kivipi ndio muwe wajuaji baada ya kifo chake? Jamaa alikua mpaka ndege za masafa marefu hapandi kisa pacemaker ila amefariki ndio mnajifanya medical experts.
 
utata wa maneno ya Mabeyo kila mtu aliuona
Utata gani? Maybe utata wa Rais kuapishwa ila hakuna mahali Mabeyo kasema kuna utata kifo cha JPM!! Msitengeneze taharuki zisizokuwepo.
Kuhusu mkewe kukataa kwamba Magufuli hakufa kwa ugonjwa wa moyo ni common knowledge wala nayo sina haja ya ku-dive into it
Hajawahi kataa msipotoshe, uhuru wa maoni usiwe chanzo cha kudanganya. Why umlishe mtu maneno ya uongo just to fit your agenda?
it.Jambo la msingi ni kuundwa tume ya uchunguzi independent.Narudia kutoundwa tume hiyo kunathibitisha Kuna jambo la kuficha.
Ichunguze nini wakati alikua mgonjwa wa moyo miaka 20? Yaani uchunguze wakati pacemaker ndio ilipata shoti? Hata wasingemuua hiyo pacemaker ingekaa mpaka lini?
 
Tume iundwe.maana inavyosemekana walifanya Hivyo wabaya wa magufuli(mafisadi)ili waendelee kuiba kama wanavyofanya Kwa Sasa. Angekuwepo Hadi Sasa nchi ingeendelea sana na wtz tungekuwa tunatembea kifua mbele
Hizo zako ni ndoto
 
Kama hakuna kiguvumizi tume iundwe basi.

Back
Top Bottom