Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

Tatizo liko wapi?
Kama Luhaga Mpina amesema uongo suluhisho ni kukanusha huo uongo aliosema na kisha wenye kujua ukweli waweke ukweli wote hadharani, ikiwezekana watoe na Ushahidi wa nyaraka za kuaminika ili kuthibitisha ukweli wao kwa umma.
Postmortem tu ndiyo inaweza sema ukweli plus dots za washangiliaji wa kifo kama akina sbuku ambaye aliandaliwa na wauaji wenzake wanajua ndiyo maana hawaishi kuropoka kuwa wanafurahi walimuua.
 
Uhuru ukizidi unaweza leta tahatuki kwenye jamii unapotumiaa vibaya na watu dizaini ya kina Mpina.
Mpina kaleta jambo ambalo hata mtanzania mpiga kura wa kijijini anajua Dkt Magufuli aliuawa na sbuku na genge lake kisa alibana mianya ya wizi
 
Sio tu yanakinzana lakini wanaotaja sababu za kifo chake wanazitaja Kama ushindi mkubwa!!!!
Walikuwa wakifanya Ugaidi na katika kufanya ugaidi huo, vielelezo vyao vilikuwa vinakinzana na Taarifa rasmi ya Serikali, kwamba Hayat alifariki kwa Ugonjwa wa Moyo. Na hata kama alifariki kwa Corona, shida ipo wapi? Kwani kufa kwa Corona ina akisi kitu gani?

Utata wamejenga wao wenyewe, hawa kina John kigunia na genge lao la Kigaidi, sasa wanakurupuka na kutaka kusema vinginevyo.

Kuna nguvu kubwa sana ambayo hailezeki kwa Urahisi, na kama haielezeki kwa urahisi ni kwamba kuna utata ndani yake.

Naunga mkono hoja ya Luhaga Mpina. Na nashauri apewe ulinzi haraka sana.
 
Wewe ndio huelewi!!

Unamuona Mpina kama nani pale Bungeni!!?Mbunge au zaidi ya Mbunge!!?

Mpina ni Pace maker ya Bunge hili liliojaaa Chama kimoja!!

System ni kama inamuandaa kuwa hivyo alivyo umuonavyo!!

Ishu ya kifo Cha Rais ni ishu nyeti ukiona anaiongelea ujue ana baraka ya mfumo kuiongelea!!

Na kama system ikiwa serious utaona impact yake Kwa mwenendo was serikali hii!!

Kuna jambo linahalalishwa kufanyika kupitia hiyo move!!

Kwani we hujui "unatumika Ili uje uondolewe baada ya kutumika"

Nawaza kwa sauti!!
Nakuelewa kamanda.
 
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,

labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume

Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua

Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa

Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa

Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.

Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli
Mpina ana hoja! Kitu hujui Achana nacho
 
This is stupid kwa kuwa hata mkewe amekataa allegation hii.Huu ni uzushi.

Halafuu,tatizo ni nini,si iundwe timu ya uchunguzi,ikiona hakuna foul play si basi the issue has been laid to rest.Kwa nini kunakuwa na kiguvumizi kwenye uundwaji wa tume?This clearly indicates there is something to hide.
Huyo mke wake alitamka wapi na lini? Unaweza kutuwekea chanzo?
 
Magufuli aliugua kwa matatizo ya moyo yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu tangu akiwa Chuo Kikuu UDSM

Jenerali mstaafu Venance Mabeyo alieleza kwa uwazi mkubwa kuwa Magufuli aliugua akapelekwa hospitali ya Muhimbili baadae hali yake ikawa mbaya ikabidi wamhamishie Mzena ambapo ndipo umauti ulipomkuta, sijaona utata wowote hapo,

labda utata angeweza kuhoji kwenye chain ya utoaji taarifa baada ya Rais kufa, japo sioni ni utata wa kuundiwa tume, ila utata huu ulilletwa na serikali ya Magufuli iliyokuwepo kipindi hicho, ambaye Magufuli mambo mengi nyeti aliachwa yasimamiwe na jeshi mfano ni lile la kupora korosho za wakulima na la kupora fedha za bureau de change, hili halihitaji tume

Jingine lenye utata labda ni usiri wa kuugua kwa Magufuli, lakini hili linafahamika kuwa Magufuli alikuwa akiendesha serikali yake kwa usiri, propaganda na denial, hadi anafariki alikuwa akisema ugonjwa wa Corono ulikwishaondoka nchini kwa maombi, Maalim Seif ambaye alikuwa Makamu wa Rais Zanzibar alipougua hadi kufa serikali haikusema lolote alipokuwa akiugua

Mkapa alipougua Serikali haikusema chochohe hadi akafa

Linganisha na kipindi hiki cha Samia ambapo Mwinyi alipougua tulipewa taarifa

Mpina anataka kuaminisha wananchi kuna utata kifo cha Magufuli ila hakurejra chochote chenye utata katika hiyo hotuba yake.

Pia soma Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

Unajua Magufuiuli alipotea vipi? Tuambie!
 
Kuna viongozi wakubwa na mashuhuri walikufa kama wanane wa kwanza wakifuatana ndani ya miezi miwili huku wengine wakiachana siku mbili na wengine wiki

Kuna mengi sana yalitokea ila Mungu awalaze pema na sisi sio wa kuhukumu

Yapite tu maana hatuna utaratibu wa kusema ukweli
 
Covid , ni watu wengi walikufa dunia nzima sio Tanzania tu
 
Back
Top Bottom