Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

🤣 🤣 🤣
 
🗼🛡️
 
Mkuu ukiona mtu unaye mdhania kuwa yuko timamu amekaza mishipa ya shingo akitaka kugeuza maneno ya mtu aliyejiita kuwa ni kichaa na wandani wake huyo kichaa wakadhibitisha kuwa ana cheti cha Mirembe, inaleta mashaka makubwa juu ya utimamu wahuyo anayeshupaza shingo! Sio ajabu tukawa tunabishana hapa na wamirembe!
 
Huyo mke wake alitamka wapi na lini? Unaweza kutuwekea chanzo?
Aliongea ila isingeweza kuwa recorded for obvious reasons.Hata hivyo narudia, iundwe tume if there is nothing to hide,ikionekana there is nothing to hide the issue will have been laid to test.For now wananchi kama mimi hatuna uhakika na nini hasa kilitokea,hasa ukizingatiwa ushuhuda wenye utata wa Mabeyo.
 
Kwa mtazamo wangu sioni kama ni vizuri kusherehekea miaka 3 ya kuwa raisi ilhali unajua kabisa uraisi wako umeupata kingekewa baada ya kufariki aliyekuwa rais wako wewe ukiwa makamu wake na hata kwenye kumbukizi ya kifo chake hakuwahi kwenda zaidi ya kutuma mwakilishi
 
Kwa mtazamo wangu sioni kama ni vizuri kusherehekea miaka 3 ya kuwa raisi ilhali unajua kabisa uraisi wako umeupata kingekewa baada ya kufariki aliyekuwa rais wako wewe ukiwa makamu wake na hata kwenye kumbukizi ya kifo chake hakuwahi kwenda zaidi ya kutuma mwakilishi
 
Hata mimi namshangaa huyo jamaa,
Kwanini hawataki mawazo mbadala?
Kwanini hawataki watu wawe na fikra huru?
Kwanini wanataka watu wa hewala hewala tu kama makondoo?
Bado wanamawazo ya enzi za TANU 1954 zidumu fikra za mwenyeki vilaza hawa
 
Ngekewa peke yake?
 
Pointless
 
Badilisha kichwa cha habari iwe hivi “Aliyekuwa Makamu wa Rais kipindi Dkt Magufuli anafariki akamatwe ahojiwe maana alikiri kuupata urais kwa kudra za mwenyezi mungu kwa sababu alijua rais aliyepo madarakani akifa yeye atakuwa rais kupitia kijitabu chenye vikaratasi cha katiba”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…