Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Kimsingi Bashe ni Mwizi ila sema ngoma inakuwa ngumu maana hizi fedha kiasi zimenunua yale mapikipiki ya SSH 2025.Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand nini kilichomo ndani ya upuuzi huu.
Mihimili hiyo miwili inayopakatana japo inaongozwa na wa mama , wao wanajua kuwa wako so strong kuyakata mawimbi ila kidogo nchi inarudi pale tulipokuwa 2014 sijui watajigaragaza wapi kupata wa kuwatoa kwenye hili tope linalokorogwa na hawa wamama wa mihimili miwili. Period
Wamama wote ni wapenda makuu na wabinafsi. Kwa kushirikiana karibu watupige mzinga ule wa mkataba wa dubai. Ila kwa ujanja baada kushindwa kuingiza huo mkataba kwa mlangoni naona wameupitishia dirishani. Hii DP polepole imeanza kuteka bandari zetu tushikamane kuikataa. Uchaguzi 2025 itakua vita maana wahuni tayari wameshika makali.Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand nini kilichomo ndani ya upuuzi huu.
Mihimili hiyo miwili inayopakatana japo inaongozwa na wa mama , wao wanajua kuwa wako so strong kuyakata mawimbi ila kidogo nchi inarudi pale tulipokuwa 2014 sijui watajigaragaza wapi kupata wa kuwatoa kwenye hili tope linalokorogwa na hawa wamama wa mihimili miwili. Period
Alijua kwamba Ripoti yake isingeweza kusomwa Bungeni,Wengi watadhani mpambanaji Mpina kuwa hajui kanuni za bunge ila kitendo cha kuchomokea kwa jamii ilikuwa turufu bora kabisa kwake maana nature ya bunge linavyopakatana na mhimili mmojawapo hatuko salama sana . Kama angesubiri spana za huyu supika angepunguzwa nguvu na tusingejua in first hand nini kilichomo ndani ya upuuzi huu.