Bunge lote ni vigeugeuUmetumwa kutetea mafisadi. Jitambue.
Hatuaminiki na hatuibi vya watuHata nyie hamuaminiki pia
Ukweli upi anaongea, Huyu baada ya kugundua hatarudi bungeni tena sasa anahangaika kupiga domoLakini si anaongea ukweli?
Fisadi ni nani sasaWahuni na mafisadi hua hampendi mtu anayesema ukweli na anayesimama na Watanzania.
Mimi ni mwana ccm Siamini Katika watu wajinga wanaomsagia mwana ccm mwenzao kunguni ili wapate cheoNa wewe piga kelele upate uwaziri
Acha hasira
Kwani anachongea mpina ni uongo?Mimi ni mwana ccm Siamini Katika watu wajinga wanaomsagia mwana ccm mwenzao kunguni ili wapate cheo
CCM ni mfumo na taasisi, Tatizo hawa akina Mpina, Makonda, Sabaya, Ally happi na mnyeti waliamini Katika kuligawa Taifa hili
Hawa watu walilazimisha kuwa ndugu zetu wa upinzani ni maadui wa Taifa hivyo tusishiriki hata Katika ndoa, misiba au harusi
Walisahau Taifa hili tumeshaoana na kuzaliana hakuna Chadema wala ccm, Hakuna simba wala Yanga, Tumeshazaliana
Chuki za akina Mpina must stop
Ni uwongo mtu hana ushahidi wowote anadandia hoja kama watu wanaodandia hoja hapa JF za CAG wala hawaelewi maana ya AuditingKwani anachongea mpina ni uongo?
Kama hiki ulichoandika ndivyo mambo yalivyo, basi huu ni uzembe wa makatibu wakuu wa wizara, sasa kwanini hao makatibu wakuu nao wageuzwe mahakimu kuhukumu walio chini yao?Mfano Auditor akija ofisi akakuta kweli watu walienda safari nje ya nchi kikazi na barua zipo kabisa na zimesainiwa lakini kwa kiburi Chao hawakuleta Airticket hao waliosafiri Wataandika kuna Safari hewa za madollar kadhaa, Issue inakufa pale wahusika wakisisitizwa walete Airticket zao
Wananchi huku hawaelewi wanapiga kelele tu ohooo watu wanafanya safari hewa wanalipana madollar
Mpina aliambiwa thibitisha kauli zako bungeni alishindwa
Amejawa chuki na lengo lake ni kukigawa chama
Hawa akina Mpina ni masalia ndani ya ccm, Next time huyu atakuwa kama Prof Kabudi