hp4510
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 7,235
- 7,392
Huyu ni moja ya waasisi wa falsafa ya "wewe ni wewe daima hakuna kama wewe baba hapa Tanzania"
Luhaga Mpina ni vigeugeu kama vigeugeu Wengine, Huyu anatafuta chakula.
Alipiga kelele wakati huo akapata uwaziri, Baada ya kupata alijaa kiburi na dharau.
Ashakumu sio matusi huyu ni mfuasi wa falsafa za Sukuma Gang.
Wakati akiwa Waziri na watu walipokuwa wanaokotwa kwenye bahari, maziwa na mito aliyokuwa anaisimamia hakuthubutu kunyanyua mdomo wake mbele ya Rais.
Africa ndio maana ni maskini na itaendelea kuwa maskini tu
Shida inaanzia wale wezi wanakuwa na watu wao wa kuwatetea, watu hambao hawawajibiki wanakuwa na watu wao wa kuwatetea,
Huyo mpina unaemsema hapo ndio alileta ishu ya mamlaka ya Reli bungeni, na ufisadi wao wote, mpaka mambo ya wazabuni
Na watu mkampinga mkasema sio mzalendo because amekosa uwaziri
Haya Leo tena mnamuona yy ndio kama msaliti namba moja