GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
- Thread starter
- #41
Wapi wanasema watu wameiba, Unafahamu maana ya AuditingSawa, ndio maana nimemwambia anioneshe alie mtakatifu bado hajanionesha, au kama wewe unamjua mmoja nioneshe nimfuate..
Mkitaka Mpina akae kimya, maana yake mnataka tuendelee kuibiwa kama taifa, au mnataka hiyo haki ya kutoa maoni mjimilikishe peke yenu?!
Nikiwaita madikteta nitakuwa nakosea? na kama napatia, mtakuwa na tofauti gani na yule JPM mnayemponda kila siku?
Mahakama ndio yenye mamlaka ya kuthibitisha wezi