Sawa ,nakubaliana na ww kuwa Mpina ni kigeugeu ,kwa Sasa amerusha makombora kwa Mwiguru wakati Kuna wengine wengi wezi wapo .Nn kimempata Mpina hatujui.Ila kuhusu watu kutupwa kwenye viroba wakati wa JPM sikubaliani na ww ,hizo ni siasa tu za maji taka.Ni kukuza tu maneno.Wakati wa Kikwete wakina Ulimboka waliokotwa misituni mabwe pandeni lakin hatusemi,watu walipigwa risasi wakitoka benki wengi tu ,hatusemi.Watu waliuliwa kwenye M-pesa ,Tigo pesa hatusemi.Siasa za Tanzania ni za ushabiki ,matumbo Basi.