Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Aisee sijawahi kusikia kusoma wala kuona mwana ccm mwenye mawazo kama haya ubarikiwe sanaMimi ni mwana ccm Siamini Katika watu wajinga wanaomsagia mwana ccm mwenzao kunguni ili wapate cheo
CCM ni mfumo na taasisi, Tatizo hawa akina Mpina, Makonda, Sabaya, Ally happi na mnyeti waliamini Katika kuligawa Taifa hili
Hawa watu walilazimisha kuwa ndugu zetu wa upinzani ni maadui wa Taifa hivyo tusishiriki hata Katika ndoa, misiba au harusi
Walisahau Taifa hili tumeshaoana na kuzaliana hakuna Chadema wala ccm, Hakuna simba wala Yanga, Tumeshazaliana
Chuki za akina Mpina must stop
Jamaa wanachukulia kwamba ukiwa siyo mwana ccm basi wewe ni haini kwa taifa nachukia sana