Luhaga Mpina alikuwa Waziri Kigeugeu. Je, vigeugeu wanatufaa kama Taifa?

Luhaga Mpina alikuwa Waziri Kigeugeu. Je, vigeugeu wanatufaa kama Taifa?

Mimi ni mwana ccm Siamini Katika watu wajinga wanaomsagia mwana ccm mwenzao kunguni ili wapate cheo

CCM ni mfumo na taasisi, Tatizo hawa akina Mpina, Makonda, Sabaya, Ally happi na mnyeti waliamini Katika kuligawa Taifa hili

Hawa watu walilazimisha kuwa ndugu zetu wa upinzani ni maadui wa Taifa hivyo tusishiriki hata Katika ndoa, misiba au harusi

Walisahau Taifa hili tumeshaoana na kuzaliana hakuna Chadema wala ccm, Hakuna simba wala Yanga, Tumeshazaliana

Chuki za akina Mpina must stop
Aisee sijawahi kusikia kusoma wala kuona mwana ccm mwenye mawazo kama haya ubarikiwe sana
Jamaa wanachukulia kwamba ukiwa siyo mwana ccm basi wewe ni haini kwa taifa nachukia sana
 
Tatizo nikumuangalia Mpina nasio Kilicho Ongelewa na Mpina
Angalia Kwanza Hoja sio mtu
Mbona watu wanajificha kwa Kivuli cha Historia kuliko Uhalisia uliopo sasa!!
Pambana na Ulicho nacho Usoni mwako Achana na Ulicho Kiacha Usogoni Kwako!
 
Tatizo nikumuangalia Mpina nasio Kilicho Ongelewa na Mpina
Angalia Kwanza Hoja sio mtu
Mbona watu wanajificha kwa Kivuli cha Historia kuliko Uhalisia uliopo sasa!!
Pambana na Ulicho nacho Usoni mwako Achana na Ulicho Kiacha Usogoni Kwako!
Hana hoja
 
Huyu ni moja ya waasisi wa falsafa ya "wewe ni wewe daima hakuna kama wewe baba hapa Tanzania"

Luhaga Mpina ni vigeugeu kama vigeugeu Wengine, Huyu anatafuta chakula.

Alipiga kelele wakati huo akapata uwaziri, Baada ya kupata alijaa kiburi na dharau.

Ashakumu sio matusi huyu ni mfuasi wa falsafa za Sukuma Gang.

Wakati akiwa Waziri na watu walipokuwa wanaokotwa kwenye bahari, maziwa na mito aliyokuwa anaisimamia hakuthubutu kunyanyua mdomo wake mbele ya Rais.
Mpina has a proven clean record that reflects his
political integrity as he confidently unfolded the rotten deeds of some of the government officials marred with graft practices that shoulder the burden on the taxpayers mercilessly.
 
Back
Top Bottom