Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Na wewe mungu akufunge uhai mileleLuhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.
Natanguliza shukrani
Na Dr. Tulia kwa maamuzi ya hovyo yanaweza ku signal utekelezaji wa mission ya "kitambaa cheusi katika Bunge la Marekani" ulioandikwa na Tumia akili mapema sana!!tazama hapa chini Lucas Mwashambwa pamoja na uchawa wake wote alikiri kwamba bashe lazima ajitokeze kulijibu na tuhuma hizo, lakini mpaka leo si bashe wala bunge zimq lililojibu hoja
Ukiona mpaka lucas kasema ujue kweli kaona majizi na majambazi yanaongozwa na tulia ona hapo chini👇Chawa namba moja nchini akitoa neno
Chura kiziwi ataruka kisimani baada ya maji kuwa ya moto na kubabua ngozi yake!Katukana bunge Zima, kamtukana Mama Abdul pamoja Na Spika wa bunge , adhabu ya kumvua uanachama haimtoshi huyo
Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.
Natanguliza shukrani
Wewe chawa acha ungeseLuhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.
Natanguliza shukrani
ni imani yangu spika makini wa bunge mh. Dr.Tulia Akson hatavumilia wala kusita kuchukua hatua za kikanuni na za kusheria dhidi ya muungwana huyu kwa wakati muafaka....Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.
Natanguliza shukrani