Magufuli 05
JF-Expert Member
- May 7, 2023
- 1,433
- 2,791
Na wewe mungu akufunge uhai mileleLuhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.
Natanguliza shukrani
