Luhaga Mpina amejaa tena kwenye kosa la utovu wa nidhamu, Bunge limshughulikie kwa kumfungia vikao 30

Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.

Natanguliza shukrani
Na wewe mungu akufunge uhai milele
 
tazama hapa chini Lucas Mwashambwa pamoja na uchawa wake wote alikiri kwamba bashe lazima ajitokeze kulijibu na tuhuma hizo, lakini mpaka leo si bashe wala bunge zimq lililojibu hoja
Ukiona mpaka lucas kasema ujue kweli kaona majizi na majambazi yanaongozwa na tulia ona hapo chini👇Chawa namba moja nchini akitoa neno
Na Dr. Tulia kwa maamuzi ya hovyo yanaweza ku signal utekelezaji wa mission ya "kitambaa cheusi katika Bunge la Marekani" ulioandikwa na Tumia akili mapema sana!!
 
Mkuu we ni zaidi used diaper haufai hata kwa dustbin.
 
Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.

Natanguliza shukrani

Aliyewakosea heshima Watanzania ni haya mafisadi yaliyopokea hongo ya bilioni 36 kupitia vibali vya uagizaji sukari nje ya nchi. Na mengine yaliyokosa heshima kwa watanzania, ni yale majitu yote yanayotetea huu ufisadi.
 
Luhaga Mpina safari hii katukana Bunge zima na wabunge wote, na pia karudia kumtukana Hussein Bashe. Kanuni zinataka apewe adhabu kali sana mfanano wa nyongo na siki. Adhabu hiyo ni kukosa vikao 30 vya Bunge. Nina imani hoja hii itawasilishwa kikao kijacho ili iende maadili.

Natanguliza shukrani
Wewe chawa acha ungese
 
ni imani yangu spika makini wa bunge mh. Dr.Tulia Akson hatavumilia wala kusita kuchukua hatua za kikanuni na za kusheria dhidi ya muungwana huyu kwa wakati muafaka....

vile vile, ni imani yangu,
Dr.Tulia Aksoni hata kubali hata kidogo najisi hii inayofanywa na mtu huyu asie mkweli kinyume na sheria na kanuni za bunge, tena mtu anaetumikia adhabu ya bunge kwa sababu ile ile ya kukiuka taratibu, kanuni na sheria za bunge...

hii kiburi, jeuri, dharau na majivuno lazima ikomeshwe na kukemewa kwa nguvu zote, na iwe fundisho kwa wengine wenye hulka za utovu wa maadili kama huyu muungwana....

nashauri Chama Chake cha Mapinduzi CCM, kusimcheleweshe hata kidogo, kumtia adabu ili akili imkae sawa kwanza. :pulpTRAVOLTA:
 
CCM siku hizi wananyukana wao kwa wao...
 
Back
Top Bottom