Yaani kutwa mnamtukana Samia,halafu mnataka hamrudishe huyo mpuuzi mwenzenu kwenye hiyo wizara,,nyie kweli wapumbavu wakubwa
Jiwe yuko zake Kuzimu, muacheniLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Huyu Mpina naona kama ana ajenda yake binafsi,Kauli ya Waziri ni kauli ya Serikali..
Kwa hiyo Takukuru wamchunguze Rais au? Watu kama huyu bwana nadhani ni WA kuwadhibiti kwa sababu kama ana majibu yake atuwekee..
Hivi leo hii Makamba JR akiamua kumshitaki anaweza thibitisha hizi tuhuma?
Nadhani kuna nongwa binafsi zinafanyika kwa mgongo wa matatizo ya wananchi.
Kama ushamba hauzuii kupata fedha haina shida wewe mjanja kwa nini uruhusu kuongozwa na mshamba?Kwani ndio nitakufa? au atakufa?
ukweli usemwe, Wasukuma Washamba sana kushika uongozi hata makazini tunawaona
Hukufagia vizuri sehemu ya msalaba, vumbi limejaa, kapitishe tambaraLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Wewe mjinga sana unajua madhara ya uvuvi haramu? Mda mwingine uwe unanyamaza tu badala ya kupayuka kwa domo lako ovyo!Huyu Luhaga Mpina alitakiwa awe ameishauawa kwa aliyowafanyia wavuvi wa ziwa Victoria. Aliua na kuwafilisi wavuvi kwa maslahi yake na Task force yake
Naona mbegu zimekaukia humo shimoni kwako sasa muwasho unakusumbua kwa kasi.Tatizo la magasho kuanzia mwenezi wenu
Hakuna hoja ya maana hapo zaidi ya chuki binafsi, Kama tozo ilifutwa kwa ajili ya kurahisisha maisha ya wananchi ndiyo maana hakuna aliyelalamika kipindi hicho ikifutwa Kama taratibu imekiukwa.Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.
Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.
Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.
Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.
Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.
Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.
Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Kuimba kupokezanaLaana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Unawalisha agenda unazozijua wewe kisa usukuma wao, makamba ajibu hoja za wabunge wenzake.This is fallacy!
Hakuna kitu kama icho!
Luhaga Mpina na Joseph Msukuma ajenda zao zinajulikana!
Utakuwa mgeni wa siasa za Tanzania kama hulijui hili
Hajazungumzia mafuta kupanda bei,MPINA kasema makamba alifuta tozo ya tsh100 kwenye mafuta bila kufuata utaratibu wa sheria za nchi.Amejaa chuki tu dhidi ya Makamba!
Saivi Hakuna mgao na hali ya umeme umerudi kuwa kawaida! Kama kukatika umeme umeme haijaanza kukatika Leo wala jana!
Kuhusu bei ya Mafuta inabidi atuambie ni wapi duniani Mafuta hayajapanda bei!
Amejawa na chuki tu Huyu mpuuzi na mkabila! Wana hasira na Makamba wa watu Kwa kuendekeza upuuzi wao wa roho mbaya
Hana habari ipi?Ndo maana nikasema hawa wabunge wa ccm ni wanafiki wanamsifia raisi halafu wanamponda makamba eti hamsaidia raisi sasa anayetaka kusaidiwa wala hana hata habari
January yupo kwenye hiyo wizara kutimiza ajenda za Kikwete ambazo Magufuli alizithibiti ; hayupo kwa manufaa ya nchi!!Makamba amefeli mapema sana
Bro inakera sana kuona kiongozi anatafuta sababu za kipuuzi kabisa kukwepa uwajibikaji ambalo ni jukumu lake.Huu utetezi wake wa kuwa wabunge wanamshambulia kutokana na kumuonea wivu kisa uwaziri wake au kutokana na mama Samia kuwa Rais ni la ajabu kwa kweli na unaona limeshaambukiza kenge wengine humu😅Umemshukia kama mwewe
Majizi ya kura acha waumane tu?Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.
Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.
Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.
Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.
Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.
Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.
Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Huyo Makamb mshauri akashtaki!Huyu Mpina naona kama ana ajenda yake binafsi,Kauli ya Waziri ni kauli ya Serikali..
Kwa hiyo Takukuru wamchunguze Rais au? Watu kama huyu bwana nadhani ni WA kuwadhibiti kwa sababu kama ana majibu yake atuwekee..
Hivi leo hii Makamba JR akiamua kumshitaki anaweza thibitisha hizi tuhuma?
Nadhani kuna nongwa binafsi zinafanyika kwa mgongo wa matatizo ya wananchi.
Huyo chawa siku hizi hajitambui, amegeuka katuni wa jf.Unawalisha agenda unazozijua wewe kisa usukuma wao, makamba ajibu hoja za wabunge wenzake.
Congo wabunge wamefukuza waziri kwa mambo kama anayofanya makamba.Sri Lanka baraza zima limejiuzuru kutokana na mambo kama hayo ya akina makamba,wacha kutetea viongozi wa hovyo,Makamba sio mgeni kwenye Taifa hili anajulikana kwa ubabaishaji.
Weka ushahidi ili ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.Tulieni nyie mashetani wa Simba wa yuda. Huyo Mpina ameua watu Rubondo mshenzi sana.