Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Naheshimu HOJA zake lakini nashawishika kuamini zipo bias na hisia zake za chuki na unafiki
Alipokua waziri hakufanya kabisa hayo anayo watuhumu wenzake kutofanya
 
Angalia hapo chini bei za mafuta Europe mid March. Bei zao ni zaidi ya mara mbili ya bei zetu.
Euro 1 = Tshs 2527
View attachment 2180065
Unajua mishahara yao? Vitu vingi nchi zilizoendelea ni bei kubwa kuliko Tanzania kama gharama za nyumba, kodi za nyumba, chakula, mafuta, nk.

Lakini mshahara pia ni mkubwa. Mfano mtu wa chini kabisa UK analipwa £ 9.50 (30000tshs)kwa saa 300,000 kwa siku. Tanzania mtu analipwa laki tatu kwa mwezi.

Vitu viwili tofauti kabisa ambavyo havilingani na madhara yake hayawezi kulinganishwa kwenye nchi husika.
 
Kupanda kwa mafuta sio tatizo la Tanzania peke yake bali nila nchi nyingi duniani. Kunatoka na kuongezeka gafla kwa demand kuanzia mwishoni mwa 2021 na pia vita ya Ukraine.
Kumlaumu January kupanda kwa bei ya mafuta ni chuki, vita ya urais 2030 au uwezo mdogo wa akili!

Mafuta yalianza kupanda, bei za bidhaa na mfumuko wa bei kuongezeka baada ya kuwekwa tozo, kodi kwenye mafuta na kodi zingine mbalimbali, kuondoa ruzuku kwenye mbolea vyote hivi kwa mkupuo, ndani ya muda mchache sana pale hii serikali ilipoingia madarakani

Ilikuwa lazima (inevitable) kungetokea mfumuko wa bei. Ukraine issue imeongeza madhara lakini sio chanzo. Chanzo ni sera mbovu ambazo hajafikiriwa vizuri kwa kina na kufanya vitu kwa kukurupuka.
 
Hata kama kusingekuwa na hii vita Ukraine- Russia kungekuwa na mfumuko mkubwa wa bei.

Watu wameanza kulalamika mwaka jana kuhusu bei za mafuta, chakula gharama za ujenzi n.k.
 
Wana chuki na Makamba wa watu kisa mjinga mwenzao kawaaminisha anahusika na kifo cha mungu wao!

Wamejaa ujinga tu ndo mana wanaua vikongwe kwao kwa kuwahisi tu kuwa ni wachawi
Nyinyi mnajiona perfect sana huh. Kwann mnajumuisha Jamii ya watu, hamuoni mnazidisha nyufa.
Jipu litapasuka, tutajua nyeupe na nyeusi
 
Mchukueni akawe waziri wa usukumani, wapuuzi nyie,kwani alizaliwa hawe waziri,au iyo wizara ya baba yake,

Acheni kumuandama Makamba na mama
Blaza kumradhi. Ila unatumia mavi makalio mwako kufikiri na kujibu. Sasa embu tuambie kwann makamba aliondoa tozo ya sh 100 bila ya ridhaa ya Rais. Mpaka rais anamruka jukwaani.
Kwann asijiuzulu? Tumia ubongo kichwani kwako kunijibu.
 
Blaza kumradhi. Ila unatumia mavi makalio mwako kufikiri na kujibu. Sasa embu tuambie kwann makamba aliondoa tozo ya sh 100 bila ya ridhaa ya Rais. Mpaka rais anamruka jukwaani.
Kwann asijiuzulu? Tumia ubongo kichwani kwako kunijibu.
We kahaba, Makamba yupo Sana kwenye hiyo wizara, hawezi kutolewa kwa kelele zenu nyie machangudoa
 
Katika post yako sijaona utetezi wa hoja zaidi ya personal attack.Nikupe faida moja mkuu Kinembe.Katika hotuba ya mwaka mmoja wa mama Samia katibu mkuu CCM komredi Chongolo alitamka bila ya kupepesa macho kuwa ... wajanja walitaka kuingiza nchi gizani ili wauze majenereta" ni dhahiri muhusika ni January
Chongolo nae ni sukuma gang? Kama January hakufanya kosa kwanini rais amerejesha tozo aliyoiondoa January kwa hotuba tu?

Naona Mange nae anajaribu kupotosha akidhani huu ni umbea wa kuchafua hewa wakati ni jinai imetendeka. Kosa linaendana na sheria za nchi na ukiukwaji kanuni kama huna weledi wa hayo mambo kuwa msikilizaji tu.Haisaidii kutukana watu.

Tukutane kaanani

Hawa chawa wa hili genge hawajui hata kutoa hoja zenye mashiko. Wanaiwaita Watanzania wengine wote Sukuma gangs wenye maoni tofauti na wenye kutetea maslahi ya taifa.

Ukiishiwa hoja, kushindwa kujibu hoja kuwajibika na kutekeleza majukumu yako sema sukuma gang.

Mange mhuni flani hivi, mtu asiye na utu, maadili, mtenda maovu mtetezi wa maovu, biashara yake ni kuvunja sheria, utu na maadili ya Watanzania. Yupo kwenye genge hili tangu 2016 walipokuwa wanampa siri za serikali, kutunga uzushi, kupotosha na kuihujumu serikali iliyopita, kuhakikisha Tanzania haifanikiwi, lakini walishindwa, watashindwa.
 
Mpina ni mpumbavu kipindi akiwa waziri kanyanyasa sana watu! Na 2025 jina wanakata ubunge atausikia tu! Angekuwa mungu wao yupo madarakani angesubutu kulopoka hivyo?

Sio kila kitu unachofanya lazima uangalie maslahi binafsi, ulaji, madaraka, ubunge.

Muhimu kuangalia vitu anavyosema ni vya ukweli, vina maslahi mapana ya TZ, vinalisaidia taifa?
 
Nyumbu ni wajinga sana

Kuna watu wanashangaza sana. Wanataka wabunge wote, mawaziri, viongozi wote wa umma wabaki kimya kisa ni waajiriwa wa serikali, hata kama kuna uozo.

Haohao utakuta wanapigania demokrasia, wanaita wengine madikteta. Ubinafsi, double standards, kulewa madaraka.

Wabunge kazi yao ni zipi kama sio kuisimamia serikali?
 
Weka ushahidi ili ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Wakati anashughulikiwa, hoja zake zitafutiwe majibu badala ya kuchukulia kila kitu kirahisi.
Hoja yake ni ya kipuuzi, yeye amerudisha ng'ombe waliokuwa wanawataifisha kutoka kwa wafugaj?,Roho mbaya na wivu umemjaa.
Kama ameua ashitakiwe tu ! Lakini hoja zake lazima zijibiwe kwa hoja !!!
 
Kuna watu wanashangaza sana. Wanataka wabunge wote, mawaziri, viongozi wote wa umma wabaki kimya kisa ni waajiriwa wa serikali, hata kama kuna uozo.

Haohao utakuta wanapigania demokrasia, wanaita wengine madikteta. Ubinafsi, double standards, kulewa madaraka.

Wabunge kazi yao ni zipi kama sio kuisimamia serikali?
Kipindi Cha jiwe kazi wabunge ilikuwa kusifu mbona hamkusema. Atulie huyo katili na laana ya watu waliokufa Rubondo itamchukua Muda sio mrefu.
 
Katema nondo gani?

Hivi nyie watu huo ujinga mnautoa wapi? Hata habari za kimataifa hamfuatilii? Wapi duniani mafuta hayajapanda bei?
Yamepanda kote lakini siyo kwa kiasis cha TZ.
 
Kipindi Cha jiwe kazi wabunge ilikuwa kusifu mbona hamkusema. Atulie huyo katili na laana ya watu waliokufa Rubondo itamchukua Muda sio mrefu.
Kama ushahidi upo ashitakiwe kama hakuna ushahidi aachwe ! Lakini hoja zake zijibiwe kwa hoja !! Kila siku Jpm analaumiwa sana kwa kubana Uhuru wa mawazo sasa mbona mmeanza kuzuia mawazo mbadala ?! Hiyo itakuwa ni double standard !!
 
Back
Top Bottom