Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mishahara yao? Vitu vingi nchi zilizoendelea ni bei kubwa kuliko Tanzania kama gharama za nyumba, kodi za nyumba, chakula, mafuta, nk.Angalia hapo chini bei za mafuta Europe mid March. Bei zao ni zaidi ya mara mbili ya bei zetu.
Euro 1 = Tshs 2527
View attachment 2180065
Kupanda kwa mafuta sio tatizo la Tanzania peke yake bali nila nchi nyingi duniani. Kunatoka na kuongezeka gafla kwa demand kuanzia mwishoni mwa 2021 na pia vita ya Ukraine.
Kumlaumu January kupanda kwa bei ya mafuta ni chuki, vita ya urais 2030 au uwezo mdogo wa akili!
India, China, Russia, Iran etc.Katema nondo gani?
Hivi nyie watu huo ujinga mnautoa wapi? Hata habari za kimataifa hamfuatilii? Wapi duniani mafuta hayajapanda bei?
Nyinyi mnajiona perfect sana huh. Kwann mnajumuisha Jamii ya watu, hamuoni mnazidisha nyufa.Wana chuki na Makamba wa watu kisa mjinga mwenzao kawaaminisha anahusika na kifo cha mungu wao!
Wamejaa ujinga tu ndo mana wanaua vikongwe kwao kwa kuwahisi tu kuwa ni wachawi
Blaza kumradhi. Ila unatumia mavi makalio mwako kufikiri na kujibu. Sasa embu tuambie kwann makamba aliondoa tozo ya sh 100 bila ya ridhaa ya Rais. Mpaka rais anamruka jukwaani.Mchukueni akawe waziri wa usukumani, wapuuzi nyie,kwani alizaliwa hawe waziri,au iyo wizara ya baba yake,
Acheni kumuandama Makamba na mama
We kahaba, Makamba yupo Sana kwenye hiyo wizara, hawezi kutolewa kwa kelele zenu nyie machangudoaBlaza kumradhi. Ila unatumia mavi makalio mwako kufikiri na kujibu. Sasa embu tuambie kwann makamba aliondoa tozo ya sh 100 bila ya ridhaa ya Rais. Mpaka rais anamruka jukwaani.
Kwann asijiuzulu? Tumia ubongo kichwani kwako kunijibu.
Safi kijana upo far far away......Washington DC, USA.
Katika post yako sijaona utetezi wa hoja zaidi ya personal attack.Nikupe faida moja mkuu Kinembe.Katika hotuba ya mwaka mmoja wa mama Samia katibu mkuu CCM komredi Chongolo alitamka bila ya kupepesa macho kuwa ... wajanja walitaka kuingiza nchi gizani ili wauze majenereta" ni dhahiri muhusika ni January
Chongolo nae ni sukuma gang? Kama January hakufanya kosa kwanini rais amerejesha tozo aliyoiondoa January kwa hotuba tu?
Naona Mange nae anajaribu kupotosha akidhani huu ni umbea wa kuchafua hewa wakati ni jinai imetendeka. Kosa linaendana na sheria za nchi na ukiukwaji kanuni kama huna weledi wa hayo mambo kuwa msikilizaji tu.Haisaidii kutukana watu.
Tukutane kaanani
Acha kuwasifu Wasukuma hata wasome vipi watabaki kuwa washamba tu.Vita inaanza Rasmi, uzuri wa Sukuma gang wengi ni smart upstairs
Kama ameua ashitakiwe tu ! Lakini hoja zake lazima zijibiwe kwa hoja !!!Tulieni nyie mashetani wa Simba wa yuda. Huyo Mpina ameua watu Rubondo mshenzi sana.
Mpina ni mpumbavu kipindi akiwa waziri kanyanyasa sana watu! Na 2025 jina wanakata ubunge atausikia tu! Angekuwa mungu wao yupo madarakani angesubutu kulopoka hivyo?
Nyumbu ni wajinga sana
Hoja yake ni ya kipuuzi, yeye amerudisha ng'ombe waliokuwa wanawataifisha kutoka kwa wafugaj?,Roho mbaya na wivu umemjaa.Weka ushahidi ili ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Wakati anashughulikiwa, hoja zake zitafutiwe majibu badala ya kuchukulia kila kitu kirahisi.
Kama ameua ashitakiwe tu ! Lakini hoja zake lazima zijibiwe kwa hoja !!!
Kipindi Cha jiwe kazi wabunge ilikuwa kusifu mbona hamkusema. Atulie huyo katili na laana ya watu waliokufa Rubondo itamchukua Muda sio mrefu.Kuna watu wanashangaza sana. Wanataka wabunge wote, mawaziri, viongozi wote wa umma wabaki kimya kisa ni waajiriwa wa serikali, hata kama kuna uozo.
Haohao utakuta wanapigania demokrasia, wanaita wengine madikteta. Ubinafsi, double standards, kulewa madaraka.
Wabunge kazi yao ni zipi kama sio kuisimamia serikali?
Yamepanda kote lakini siyo kwa kiasis cha TZ.Katema nondo gani?
Hivi nyie watu huo ujinga mnautoa wapi? Hata habari za kimataifa hamfuatilii? Wapi duniani mafuta hayajapanda bei?
Kama ushahidi upo ashitakiwe kama hakuna ushahidi aachwe ! Lakini hoja zake zijibiwe kwa hoja !! Kila siku Jpm analaumiwa sana kwa kubana Uhuru wa mawazo sasa mbona mmeanza kuzuia mawazo mbadala ?! Hiyo itakuwa ni double standard !!Kipindi Cha jiwe kazi wabunge ilikuwa kusifu mbona hamkusema. Atulie huyo katili na laana ya watu waliokufa Rubondo itamchukua Muda sio mrefu.