Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Yaani kutwa mnamtukana Samia,halafu mnataka hamrudishe huyo mpuuzi mwenzenu kwenye hiyo wizara,,nyie kweli wapumbavu wakubwa

Wapuuzi ni nyie mmekuwa kama chawa kusifia ujinga rahisi ni mfariji wa wanachi wake
Sasa raisi wa nchi anasimama anasema amna umeme wa 27000 mlidanganywa
Halafu tena anasema tozo ya 100/= lazima irudi na vitu lazima vipande . Ushawwhi kuona raisi kama huyo wapi katika dunia hii
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Jiwe yuko zake Kuzimu, muacheni
 
Huyu Mpina naona kama ana ajenda yake binafsi,Kauli ya Waziri ni kauli ya Serikali..

Kwa hiyo Takukuru wamchunguze Rais au? Watu kama huyu bwana nadhani ni WA kuwadhibiti kwa sababu kama ana majibu yake atuwekee..

Hivi leo hii Makamba JR akiamua kumshitaki anaweza thibitisha hizi tuhuma?

Nadhani kuna nongwa binafsi zinafanyika kwa mgongo wa matatizo ya wananchi.

Ndo maana nikasema hawa wabunge wa ccm ni wanafiki wanamsifia raisi halafu wanamponda makamba eti hamsaidia raisi sasa anayetaka kusaidiwa wala hana hata habari
 
Huyu Luhaga Mpina alitakiwa awe ameishauawa kwa aliyowafanyia wavuvi wa ziwa Victoria. Aliua na kuwafilisi wavuvi kwa maslahi yake na Task force yake
 
Huyu Luhaga Mpina alitakiwa awe ameishauawa kwa aliyowafanyia wavuvi wa ziwa Victoria. Aliua na kuwafilisi wavuvi kwa maslahi yake na Task force yake
Wewe mjinga sana unajua madhara ya uvuvi haramu? Mda mwingine uwe unanyamaza tu badala ya kupayuka kwa domo lako ovyo!
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.

Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.

Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.

Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.

Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.

Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Hakuna hoja ya maana hapo zaidi ya chuki binafsi, Kama tozo ilifutwa kwa ajili ya kurahisisha maisha ya wananchi ndiyo maana hakuna aliyelalamika kipindi hicho ikifutwa Kama taratibu imekiukwa.
Kupanda kwa bei ya mafuta hata waziri akitoa sababu za hilo tatizo hakutakuwa na jipya masikioni mwa watanzania kwani tension iliyopo duniani kwa sasa imeathiri bei ya mafuta kwa nchi nyingi, majirani zetu hapo Kenya hali ni mbaya zaidi.
Suala la bwawa la umeme kuchelewa hilo lilishatolewa majibu, uhakika wa kukamilika upo na makamba hawezi kunufaika kwa ucheleweshaji wa ujenzi wa hilo bwawa kwahiyo hana sababu za kuchelewesha. Kama linachelewa ili kuhakiki linajengwa kwa viwango vya ubora ni vizuri zaidi.
Hakuna jipya hapo ni chuki tu
 
This is fallacy!
Hakuna kitu kama icho!

Luhaga Mpina na Joseph Msukuma ajenda zao zinajulikana!

Utakuwa mgeni wa siasa za Tanzania kama hulijui hili
Unawalisha agenda unazozijua wewe kisa usukuma wao, makamba ajibu hoja za wabunge wenzake.
Congo wabunge wamefukuza waziri kwa mambo kama anayofanya makamba.Sri Lanka baraza zima limejiuzuru kutokana na mambo kama hayo ya akina makamba,wacha kutetea viongozi wa hovyo,Makamba sio mgeni kwenye Taifa hili anajulikana kwa ubabaishaji.
 
Amejaa chuki tu dhidi ya Makamba!

Saivi Hakuna mgao na hali ya umeme umerudi kuwa kawaida! Kama kukatika umeme umeme haijaanza kukatika Leo wala jana!

Kuhusu bei ya Mafuta inabidi atuambie ni wapi duniani Mafuta hayajapanda bei!

Amejawa na chuki tu Huyu mpuuzi na mkabila! Wana hasira na Makamba wa watu Kwa kuendekeza upuuzi wao wa roho mbaya
Hajazungumzia mafuta kupanda bei,MPINA kasema makamba alifuta tozo ya tsh100 kwenye mafuta bila kufuata utaratibu wa sheria za nchi.
Kuna hoja huwa zinakuja za maana kuusaidia nchi.lakini ufinyu wa fikra za baazi ya watanzania tunakimbilia kumsema mtu aliyeleta hoja nzuri au aliyeibuwa Madudu ya kiongozi tunayempenda.
 
Makamba amefeli mapema sana
January yupo kwenye hiyo wizara kutimiza ajenda za Kikwete ambazo Magufuli alizithibiti ; hayupo kwa manufaa ya nchi!!
Kwa vile Kikwete ndio anaendesha nchi, malalamiko yote juu ya utendaji hafifu wa Makamba hayatatiwa maanani! Kama Kikwete mwenyewe alivyozoea kusema “ Kelele za mlango hazimzuii mwenye nyumba kulala usingizi”!
 
Umemshukia kama mwewe
Bro inakera sana kuona kiongozi anatafuta sababu za kipuuzi kabisa kukwepa uwajibikaji ambalo ni jukumu lake.Huu utetezi wake wa kuwa wabunge wanamshambulia kutokana na kumuonea wivu kisa uwaziri wake au kutokana na mama Samia kuwa Rais ni la ajabu kwa kweli na unaona limeshaambukiza kenge wengine humu😅
kila anayehoji matatizo yanayotukabili kama Taifa anaitwa sukuma gang,tutafika kweli kwa mwendo huu!
Ni makamba huyu huyu alitimuliwa na Magu baada ya kuonekana anasuasua kwenye uanzishwaji wa mradi wa umeme Rufiji baada ya mataifa ya magharibi kuanza kuupiga vita kwa kisingizio kuwa mradi utaleta athari za mazingira na yeye kama waziri wa mazingira akashindwa kuutetea mradi kwa mataifa hayo.
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.

Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.

Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.

Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.

Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.

Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Majizi ya kura acha waumane tu?
 
Huyu Mpina naona kama ana ajenda yake binafsi,Kauli ya Waziri ni kauli ya Serikali..

Kwa hiyo Takukuru wamchunguze Rais au? Watu kama huyu bwana nadhani ni WA kuwadhibiti kwa sababu kama ana majibu yake atuwekee..

Hivi leo hii Makamba JR akiamua kumshitaki anaweza thibitisha hizi tuhuma?

Nadhani kuna nongwa binafsi zinafanyika kwa mgongo wa matatizo ya wananchi.
Huyo Makamb mshauri akashtaki!
 
Unawalisha agenda unazozijua wewe kisa usukuma wao, makamba ajibu hoja za wabunge wenzake.
Congo wabunge wamefukuza waziri kwa mambo kama anayofanya makamba.Sri Lanka baraza zima limejiuzuru kutokana na mambo kama hayo ya akina makamba,wacha kutetea viongozi wa hovyo,Makamba sio mgeni kwenye Taifa hili anajulikana kwa ubabaishaji.
Huyo chawa siku hizi hajitambui, amegeuka katuni wa jf.
 
Tulieni nyie mashetani wa Simba wa yuda. Huyo Mpina ameua watu Rubondo mshenzi sana.
Weka ushahidi ili ashughulikiwe kwa mujibu wa sheria.
Wakati anashughulikiwa, hoja zake zitafutiwe majibu badala ya kuchukulia kila kitu kirahisi.
 
Back
Top Bottom