Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Wewe huwezi kufuatilia kwa nini Bei zimepanda hadi serikali ikwambie?

Umeishia darasa la ngapi?
 
Ngoja kidogo..., Simtetei Makamba...

LAKINI;

Katika hili Suala la kufuta TOZO anasema TOZO ingebaki..., yaani mimi kwenye hili naona wote hawana weledi ingebidi waitishe Kikao cha Haraka na kujadiri ni vipi hizo TOZO zinaweza kuondoka katika wakati huu mgumu..., Yaani wakati wengine wanaangalia ni vipi wanaweza wakapunguza huu Mzigo yeye analaumu kwanini Mzigo umepunguzwa...

Mapato ?!!! Ingekuwa sawa tunaona value for money ya hayo mapato ila kama mapato yenyewe yanaishia kwenye Mbuzi wenye Kamba ndefu, ni bora tu yapungue...
 
Huyu Mpina aache wakati wa mwendazake akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi akitumia task force aliumiza sana wavuvi.
Alifikia hatua yakudharau wabunge wenzake aache unafiki.
 
Luhaga amesahau alivyowafilisi wasukuma wenzake ng'ombe na mitaji yao ya uvuvi kwa lengo la kumpendezesha Mwendazake
 
Luhaga amesahau alivyowafilisi wasukuma wenzake ng'ombe na mitaji yao ya uvuvi kwa lengo la kumpendezesha Mwendazake
Kwa hiyo ulivyo mjinga ulitaka wazuie uvuvi haramu kwa kuwaomba kwa maneno tu bila kuchukua hatua? Hujui waziri aliokoa watu wangapi wasipate kansa?
 
Waziri Kalemeni alionewa bure baba wa watu
Sidhani kama ile wizara itakuja kupata mtu makini kama Kalemani, huyu kipara kwa sasa hata ujengaji hoja ni mweupe anatembelea mbeleko ya msoga bila hivyo angekuwa kashafutwa kazi mapema ty
 
Watauana hawa machichiemu🀣🀣
 
Uvuvi haramu ulikwisha na viwanda vya samaki vilianza kupata samaki wengi sana.

Uvuvi haramu na madawa ya kulevya hayaishi kwa kutamka tu ni mapaka uchukue hatua.
 
Huyo Mpina ana kihoro cha kukosa ulaji.
 
Wasukuma ndio wengi nchi hii na ndio wapiga kura wengi au nasema uongo ndg zanguuuuuuuuuuuuu?[emoji16][emoji16][emoji16]
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..we jamaa una vurugu sana haaa haaaaaa..πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anayesaidiwa ndo kituko zaidi maana hajalalamika kuwa eti ameshindwa kusaidiwa
Nimesoma michango yote toka juu hadi nikafika kwako, nikapata jibu sahihi.

Makamba ni tapeli, lakini tapeli mkubwa ni yule aliyemweka hapo alipo.
 
Huyu Mpina naona kama ana ajenda yake binafsi,Kauli ya Waziri ni kauli ya Serikali..

Kwa hiyo Takukuru wamchunguze Rais au? Watu kama huyu bwana nadhani ni WA kuwadhibiti kwa sababu kama ana majibu yake atuwekee..

Hivi leo hii Makamba JR akiamua kumshitaki anaweza thibitisha hizi tuhuma?

Nadhani kuna nongwa binafsi zinafanyika kwa mgongo wa matatizo ya wananchi.
 
Mchukueni akawe waziri wa usukumani, wapuuzi nyie,kwani alizaliwa hawe waziri,au iyo wizara ya baba yake,

Acheni kumuandama Makamba na mama
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakuhurumia ulivyo na akili ndogo haijai kisoda[emoji23][emoji23][emoji23]
1. Tumeanza lini kusifiana kikabila?
2. Ni lini mtu anafungwa kumsifia asoye kabila lake?

3. Utamlinganisha Kalemeni na utopolo Makamba?

4. Hivi unafikiri sijui kutukana?... acha ushamba dogo.

Afu ukijisaidia ukumbuke kutawadha naona unauambukiza mdomo nao unanuka kama mtaro.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sidhani kama ile wizara itakuja kupata mtu makini kama Kalemani, huyu kipara kwa sasa hata ujengaji hoja ni mweupe anatembelea mbeleko ya msoga bila hivyo angekuwa kashafutwa kazi mapema ty
Samia amebeba gunia la misumari kabisa
 
Aache unafiki 2011-15 alikua anaikaanga sana bunge kupitia kamata ya biashara na viwanda ila tokea aonje unaibu waziri hakuna jipya alilofanya. Leo kanyimwa ugali ndio anapiga makelele.

Ukishakosa credibility hata uongee point watu hawakuelewi tena maana unaonekana mnafiki tu.

Yaani Makamba kufuta tozo kwa wananchi wanaona ni uhujumu uchumi ila wakitangaza tozo tena mnakuja kuwaita Wizara ya Tozo!!! Huu unafiki ni kwa faida ya nani?

Anyway Makamba ana madhaifu mengi ila wanaopaswa kuongelea haya mliwatimua bungeni so mliobaki hamuaminiki zaidi mnaonekana mmetumwa na Kalemani kutetea kiti Chao kilichoporwa usukumani
 
Wewe huwezi kufuatilia kwa nini Bei zimepanda hadi serikali ikwambie?

Umeishia darasa la ngapi?
We akili yako ni za kuendesha ukoo wenu tu, huna weledi na mambo mazito yanayogusa taifa kwa ujumla yenye maslahi kitaafa ya kiupana zaidi, unaongea kihuni tu nakujibu basi tu huna hizo credit za kujibishana nami,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…