Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

mbona povu sana, tuliza mshono. vita ndio imeanza sasa hamtaki tutagawana nchi, nyie mbaki na bandari yenu na sisi tubaki na madini yetu.
Asante Sana kwa kuzidi kujifunua kuwa kumbe mna ajenda yenu nyie kama nyie na wala hamna ajenda za kitaifa!

Kwa taarifa yako hayo mambo mtafanikiwa huko kwenu kwa asili Rwanda na Burundi SIO TANZANIA
 
Wewe mwenyeji sana wa hizi siasa inaonekana

Tangu Makamba umemjua kwny siasa kafanya jambo gani la maana?

Ukimuweka Makonda na January halafu utazame upande wa mazuri yao tu kwmy uongozi basi Paul kafanya mengi sana kuliko huyu Kijana …January alichofanikiwa ni kuji brand kama mtu smart sana kichwani hakuna kingine
This is fallacy!
Hakuna kitu kama icho!

Luhaga Mpina na Joseph Msukuma ajenda zao zinajulikana!

Utakuwa mgeni wa siasa za Tanzania kama hulijui hili
 
Kwa hiyo wewe ndo mjana? Huyo Mpina anakuzidi kila kitu na ukoo wako wote. Ujanja sio kuvuka rami ni kutafuta fursa na kuiona ndo maana wengi wenye mafanikio mjini ni watu wa kuja.
Mmetusumbua na kutuonea sana nyinyi awamu iliyopita! Na bado mnaendelea tu kutusumbua hata sasa. Jambo hili halikubaliki hata kidogo.
 
Msukuma ni Raia mwenye haki sawa na Mkwere au Mchagga…anapohoji ajibiwe sio kukimbilia kwny kichaka cha Ukabila kukwepa hoja

Wapo Wasukuma wengi tu ni wahanga wa utawala uliopita hivyo si vyema ku generelize kila Msukuma ni Beneficiary wa utawala uliopita

Kuna Kina Diallo, Said Lugumi, Roberr Kisena hawa wote ni wasukuma lakin waliteseka kuliko baadhi ya Wapare na wachagga

Hoja ya kujibiwa ni kuwa ilikuaje January akashauri kufanywa marekebisho ya Tozo ambazo tayari zilipitishwa na bunge bila ya approval ya Bunge…haya Pohamba si msukuma nauliza tupeni majibu

Wasukuma ni wabinafsi na wakabila sana. Hii miaka sita miradi na pesa yote ilipelekwa Kanda ya ziwa. Pumbafu sana, wanahangaika Bure.
 
Unasema January na Makonda

Sawa tuwangalinganishe kwa vigezo

Mimi nitakwambia Makamba alisimamia zoezi la kuondoa vifungashio vya plastiki kwenye pombe na kuondoa mifuko ya plastiki

Sasa wewe Niambie Makonda kafanya nini pa maana lenye impact kwa jamii?
Wewe mwenyeji sana wa hizi siasa inaonekana

Tangu Makamba umemjua kwny siasa kafanya jambo gani la maana?

Ukimuweka Makonda na January halafu utazame upande wa mazuri yao tu kwmy uongozi basi Paul kafanya mengi sana kuliko huyu Kijana …January alichofanikiwa ni kuji brand kama mtu smart sana kichwani ha
 
mbona povu sana, tuliza mshono. vita ndio imeanza sasa hamtaki tutagawana nchi, nyie mbaki na bandari yenu na sisi tubaki na madini yetu.
Tutakuja tutawafumua, mtakuwa kama ilivyo Kivu au goma
 
"we Mpina ni kichaa kama mimi, nimekupa wizara ya uvuvi" - marehemu Magufuli.

Baada ya siku chache, Mpina akadhihirisha maneno ya marehemu, yeye na watu wake wakafikia hatua ya mpaka kupima samaki walioo kwenye sahani za wateja kwa rula.
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi...
Kuna saaa wanasema ukweli kuna saaa kichina
 
Hilo la vifungashio alishalitolea ufafanuzi hayati JPM kuwa ilibidi amshirikishe PM baada ya January kulega lega mara kadhaa

Ya Makonda

1) Katokomeza Panya Road waliokuwa tishio sana muda wa mwisho wa utawala wa JK
2) Kasimamia kwa ufanisi mkubwa ujenzi wa shule nyingi za Kata na nyumba za walimu Jijini Dar es salaam
3) aliweza kumaliza migogoro iliyokuwa ikiibuka mf. Wa Madereva kituo kikuu cha Ubungo
4) kusimamia na kupambana kudhibiti upigaji na hatiamae kubadili mkandarasi wa mchongo kwny soko la Kisutu na hatimae ujenzi ukaanza na kukamilika ndani ya kipindi kifupi na hatimae wafanyabiashara wote walioondolewa wakarudishwa bila ya malalamiko hata ya mtu mmoja kudhulumiwa pa kufanyia kazi
5) Kutokomeza kabisa rudia kabisa biashara ya madawa ya kulevya Jijini Dar es salaam

Kila binadam ana pande mbili

Kwny mazuri huwezi kumlinganisha January na Makonda
Unasema January na Makonda

Sawa tuwangalinganishe kwa vigezo

Mimi nitakwambia Makamba alisimamia zoezi la kuondoa vifungashio vya plastiki kwenye pombe na kuondoa mifuko ya plastiki

Sasa wewe Niambie Makonda kafanya nini pa maana lenye impact kwa jamii?
 
Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Hivi ina maana mtu mmoja tu ndio anayeweza kufikia maamuzi ya kutoa tozo?

Waache kutushika masikio hawa wanasiasa...
 
Kwa hiyo umeamua kutukana wasukuma wote kisa uchwa kwa huyo bibi ako?
Wasukuma Wana roho mbaya sana. Ndio maana mnauwa vikongwe na ma zeruzeru.

Hata marehemu roho mbaya yake alitugawa sana watanzania.

Mtu mwenye akili timamu huwezi kuamuru kuuwa wanaokupinga.

Wasukuma Wana roho mbaya
 
Hilo la vifungashio alishalitolea ufafanuzi hayati JPM kuwa ilibidi amshirikishe PM baada ya January kulega lega mara kadhaa

Ya Makonda

1) Katokomeza Panya Road waliokuwa tishio sana muda wa mwisho wa utawala wa JK
2) Kasimamia kwa ufanisi mkubwa ujenzi wa shule nyingi za Kata na nyumba za walimu Jijini Dar es salaam
3) aliweza kumaliza migogoro iliyokuwa ikiibuka mf. Wa Madereva kituo kikuu cha Ubungo
4) kusimamia na kupambana kudhibiti upigaji na hatiamae kubadili mkandarasi wa mchongo kwny soko la Kisutu na hatimae ujenzi ukaanza na kukamilika ndani ya kipindi kifupi na hatimae wafanyabiashara wote walioondolewa wakarudishwa bila ya malalamiko hata ya mtu mmoja kudhulumiwa pa kufanyia kazi
5) Kutokomeza kabisa rudia kabisa biashara ya madawa ya kulevya Jijini Dar es salaam

Kila binadam ana pande mbili

Kwny mazuri huwezi kumlinganisha January na Makonda
2. Kusimamia Shule nalo jambo la kusema unapongeza? Kuna Mkuu wa Mkoa gani hajasimamia Shule na Madarasa hapa Tanzania?

3. Kumaliza mgogoro wa madereva nayo unachungulia Kama hot Issue? Nani hajatatua migogoro?

4. Makonda kazuia upigaji gani wakati yeye ndo alikuwa mpigaji Mkuu? Alimgomea hadi Waziri wa fedha kulipa kodi kwa mizigo yako aliyoingiza bandarini? Au umesahau?

Nikiorodhesha hayo mambo ya January si utasema niishie hapahapa?
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.

Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.

Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.

Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.

Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.

Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Mbona yeye Luhaga anewaibia sana wafugaji jamii ya wasukuma Ng'ombe zao wakati akiwa waziri wa mifugo na uvuvi,nenda Bariadi watakuambia habari zake,
Hata kwenye uchaguzi hawakumchagua kabisa,alipitishwa kwa nguvu na mwendazake.
 
Back
Top Bottom