Luhaga Mpina amlipua Waziri Makamba, amtuhumu kwa Uhujumu Uchumi. Atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua

Yaani kutwa mnamtukana Samia,halafu mnataka hamrudishe huyo mpuuzi mwenzenu kwenye hiyo wizara,,nyie kweli wapumbavu wakubwa
Huyo Makamba anapewa makavu live ya ukweli wewe unageuzia eti Samia... Ajibu hoja kwanza zinazohusu masuala muhimu ya nchi uswahili wa vijiweni.
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.

Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.

Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.

Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.

Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.

Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
MPINA WHAT
 
Tusifike huko wakuu..tuwe tunapima uzito wa hoja kuliko kumjadili mleta hoja.
Hivi hoja yake haina mashiko?

Tangu lini waziri aliwahi kuikosoa serikali?
Ni haki uake kama mbunge.
Hata alipokuwa Waziri alikuwa hasikii cha muadhin wala sheikh.

Umesahau kupima samaki kwa ruler mgahawani bungeni?
 
Uvuvi haramu ulikwisha na viwanda vya samaki vilianza kupata samaki wengi sana.

Uvuvi haramu na madawa ya kulevya hayaishi kwa kutamka tu ni mapaka uchukue hatua.
Viwanda gani vilipata samaki? Nenda viwanda vya samaki Kemondo Bukoba na Mwanza vicfish ,Nile,vimekofa mpaka Leo toka kipindi Cha Mpina kwa kukisa samaki,Acha kusoma taarifa za mitandaoni,nenda kajionee.
 
Laana ya kushangilia kifo cha Magufuli haitawaacha salama, walidhani kuongoza ni jambo rahisirahisi kama kujibatiza jina la kigogo2014 huko twita.
Kwani Kuna mtu hakushangilia kifo kile. Hata wewe indirectly ulifurahi
 
Huyu Mpina naona kama ana ajenda yake binafsi,Kauli ya Waziri ni kauli ya Serikali..

Kwa hiyo Takukuru wamchunguze Rais au? Watu kama huyu bwana nadhani ni WA kuwadhibiti kwa sababu kama ana majibu yake atuwekee..

Hivi leo hii Makamba JR akiamua kumshitaki anaweza thibitisha hizi tuhuma?

Nadhani kuna nongwa binafsi zinafanyika kwa mgongo wa matatizo ya wananchi.
Kuvunja katiba kunahitaji ushahidi gani tena??? ibara za katiba ziko wazi
 
Viwanda gani vilipata samaki? Nenda viwanda vya samaki Kemondo Bukoba na Mwanza vicfish ,Nile,vimekofa mpaka Leo toka kipindi Cha Mpina kwa kukisa samaki,Acha kusoma taarifa za mitandaoni,nenda kajionee.
Acha ujinga wako wewe kunauwezekano hata mwanza huijui, Wewe umeshajigeuza zezezta la kutetea uinga wote wa mama na serkali yake.
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.

Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.

Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.

Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.

Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.

Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
Chanzo cha habari hii tafadhali.
 
😄😄😄 haya kakae na mavi yako nyumbani.😄😄
Unachekacheka kishoga huku hewa inatokea makalioni mbwa wewe. Unajichekesha utakula mdudu mbwa wewe kamuandalie shemeji yako maji ya kuoga akupasue unajichekesha huku utaambulia shahawa upate mimba usijue baba ni nani Kama mamako alivyokuzaa unaishia kumtukana sababu huna baba. Laanakum
 
Huyu Mpina naona kama ana ajenda yake binafsi,Kauli ya Waziri ni kauli ya Serikali..

Kwa hiyo Takukuru wamchunguze Rais au? Watu kama huyu bwana nadhani ni WA kuwadhibiti kwa sababu kama ana majibu yake atuwekee..

Hivi leo hii Makamba JR akiamua kumshitaki anaweza thibitisha hizi tuhuma?

Nadhani kuna nongwa binafsi zinafanyika kwa mgongo wa matatizo ya wananchi.
Kauli ya waziri sio kauli ya Rais acha uongo, mfano waziri Mkenda alipotoa kauli kuhusu kuagiza sukari ya nche ilikuwa ni kauli ya Rais? Kama ilikuwa kauli ya Rais mbona Rais mwenyewe aliipuuzilia mbali na kumsema waziri wake hadharani!
 
Hata alipokuwa Waziri alikuwa hasikii cha muadhin wala sheikh.

Umesahau kupima sanaki kwa ruler mgahawani bungeni?
FB_IMG_1648499814063.jpg
 
Haya ndiyo majibu ya hoja za Mpina?
Pumbavu zako kabisa
Yule mwehu, Mpina na wewe, bila shaka ni wamoja. Dialo anafahamu tatizo lenu.

Mpina kama anazo kidogo zilizosalia, ajitahidi kuiomba Serikali iboreshe huduma za Mirembe hospital ili clinic mnazohudhuria pale zilete matokeo chanya.
 
Wana chuki na Makamba wa watu kisa mjinga mwenzao kawaaminisha anahusika na kifo cha mungu wao!

Wamejaa ujinga tu ndo mana wanaua vikongwe kwao kwa kuwahisi tu kuwa ni wachawi
Hoja za Mpina ni nyepesi. Kuhusu sukuma, mimi sishabikii sukuma gang.
Lkn kuhusu Makamba ni MWEUPEEEEE MNO wala vita isiwe kisingizio. Hana strategy za hiyo Wizara, i.e bora angepewa hata NAPE,
Mfano unaulizwa , Swali na wabunge. Unaacha kujibu kama serkali unasema eti mlikuwa hamtaki niwe waziri au mnautaka uwaziri wangu. Rubbish.

Huwezi kuja na hoja eti hakuna winchi ya kufunga milango ya bwawa kama kichwani uko biyeee
 
Hilo la vifungashio alishalitolea ufafanuzi hayati JPM kuwa ilibidi amshirikishe PM baada ya January kulega lega mara kadhaa

Ya Makonda

1) Katokomeza Panya Road waliokuwa tishio sana muda wa mwisho wa utawala wa JK
2) Kasimamia kwa ufanisi mkubwa ujenzi wa shule nyingi za Kata na nyumba za walimu Jijini Dar es salaam
3) aliweza kumaliza migogoro iliyokuwa ikiibuka mf. Wa Madereva kituo kikuu cha Ubungo
4) kusimamia na kupambana kudhibiti upigaji na hatiamae kubadili mkandarasi wa mchongo kwny soko la Kisutu na hatimae ujenzi ukaanza na kukamilika ndani ya kipindi kifupi na hatimae wafanyabiashara wote walioondolewa wakarudishwa bila ya malalamiko hata ya mtu mmoja kudhulumiwa pa kufanyia kazi
5) Kutokomeza kabisa rudia kabisa biashara ya madawa ya kulevya Jijini Dar es salaam

Kila binadam ana pande mbili

Kwny mazuri huwezi kumlinganisha January na Makonda
Ila kwenye wizi wa fedha, sijui kama kuna aliyemfikia Makonda. Pia haijawahi kutokea RC kuwa kiongozi wa kundi la watu wasiojulikana, na kazi yake kubwa ikiwa ni kusimamia utekaji wa watu, upotezaji watu na hata kuua. Ni Makonda pekee yake. Na ndiye kiongozi pekee wa Tanzania ambaye amepigwa marufuku kuingia US kutokana na yeye kushiriki kuwanyima watu haki yao ya kuishi (ikimaanisha ni muuaji).

Naye Sabaya, wakati akiwapora pesa watu kwa nguvu, aliweza kutamka kuwa eti hiyo inaitwa "Makonda style".
 
Luhaga Mpina Mbunge wa Kisesa amesema Rais Samia alitaka mawaziri wamsaidie katika kujibu hoja za wananchi, hata hivyo jambo hilo halionekani sana kwa sasa, ambapo amesema mawaziri wapo kimya katika kujibu hoja za wananchi.

Mpina amesema wapo mawaziri hawajibu hoja za wananchi au huwa wanajibu kwa hoja nyepesi malalamiko ya raia, hali ambayo ameitaja kuwa sio kumsaidia Rais kama inavyotarajiwa.

Ametoa mfano wa waziri wa Nishati alivyojibu kuhusu ucheleweshwaji wa mradi wa bwawa la Mwl Nyerere ambapo Waziri wa Nishati alianza kulaumu kuwa Wabunge hawakutaka yeye awe waziri badala ya kujibu hoja iliyokuwa mezani.

Waziri ametolea mfano suala la kufuta tozo ya Tsh. 100 katika mafuta bila kufuata utaratibu. Ambapo amesema maamuzi ya waziri kufuta tozo hiyo amekutaja ni sawa na uhujumu wa mapato ya Serikali kwa kuwa fedha ya tozo hiyo ilikuwa katika bajeti ya Serikali ya mwaka 2021/22.

Kwa kushindwa kufuata taratibu za kuondoa tozo, Luhaga Mpina amesema Waziri wa Nishati amekuwa amefanya kosa la Uhujumu Uchumi. Na ameshindwa kutafuta kukielewa chanzo cha upandaji wa bei za mafuta nchini.

Kufuta tozo ya Tsh. 100 bila kufanya tathmini kumeipotezea Serikali Tsh. Bilioni 30. Hivyo, hakuwa na nia njema, achukuliwe hatua, atoa wito kwa TAKUKURU kumchukulia hatua. Amesema suala la kumchukulia hatua sio jambo la hiari, ni kwa mujibu wa sheria.

Mambo mengine aliyoyataja katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari ametaja kuwa Waziri Makamba ameshindwa kujibu kuhusu bei za mafuta na mfumuko wa bei.
mama anaupiga mwingi.!!
 
Back
Top Bottom