Pre GE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

Pre GE2025 Luhaga Mpina amshtaki Spika Tulia na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kwa kuondolewa Bungeni kinyume na Sheria

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wameshindwa kesi kabla haijaanza.

Wakili wa kwanza anasema "Wanashitaki viwanda vya sukari kupata hasara" wakati anayeshitaki hana kiwanda cha sukari.

halafu wakati huohuo kesi ya boiashara unaofanya ya kikatiba.

Ujuha huo.

Hawa wanaisumbuwa mahakama, walipe ghatrama za kesi na wawalipe wanaowachafuwa majina.,3

Kesi hii itaishia Mpina kufilisiwa siyo tu na aliowashitaki bali na wenye viwanda pia.

Hivi Mwenye kiwanda kipi cha sukari Tanzania anauwezo wa kusimama na kuipinga serikali?

Huyo wa kwanza, macho yake yameanza kulia kabla hajalizwa.
Upo ki-dictator-dictator - na Vitisho- kama vya - kiarabu-arab
 
Huyo wa pili anawaongelea wakulima walioshitaki ambao hawataji majina yao.

Huyo anaonesha hata zao la miwa hajuwi linavyolimwa.

Hivi hawa ndiyo mawakili wa Tanzania? Wanapewaje vibali vya kuwa mawakili?
Elimu yetu ya sheria inavyoratibiwa itazamwe upya.

Huyu wa pili ndiyo hata Kiswahili kinampiga chenga, eti zao la miwa linampelekea mkuliwa kupoteza heshima na nyumbani?

Matusoi hayo kwa mkulima.

"If such are the priests, God bless the congregation".
 
Mahakama inaweza kutoa hukumu kuhusu uendeshwaji wa mhimili unaojitegemea wa Bunge na Spika?

Hukumu hiyo haitaharibu uhuru wa Bunge kama mhimili unaojitegemea?
Yes inaweza toa ndo maana kuna kitu cha chek and balance, ndo maana waziri anayetokana na Serikali anaweza wajibishwa na Mahakama au wakatoa ruling ya nini kifanyike, Ila hapo ni naongelea zenye kuweza kutafuna mfupa siyo za kubugia uji

Britanicca
 
Huyo wakili wa tatu ndiyo kishajihukumu mwenyewe kisheria, kuwa Spika hashitakiwi. Eti atayaongelea mbele huko. Hapo kuna mbele ipi nyingine? Anawadanganya wajinga ndiyo waliwao.

kama haitoshi, nini kimefanya huyo wakili wa tatu kunyoa nyusi namna hiyo? Muendelezo wa wale wale.

Huyo na mpina ni kikundi kimoja, hakuna shaka. Kama mnakumbuka mpina alivyowapima samaki kwa rula, kuna wabunge wakataka wabunge wote wapimwe marinda bungeni. Kama mlikuwa hamuelewi alilengwa nani baada ya kuwapima samaki kwa rula, sasa mnaelewa.

Huyo wakili hizo nyusi alivyonyowa ni kama mishangazi ile ya mipasho na anavyorembuwa macho, kuliko wenye macho yao.

Huyo ndiyo kishashindwa kabisa.

Wanatutowa kwenye mstari wakati kuna vitu vya maana sasa hivi.

Dah na mpina nae kanyowa nyusi.
 
Yes inaweza toa ndo maana kuna kitu cha chek and balance, ndo maana waziri anayetokana na Serikali anaweza wajibishwa na Mahakama au wakatoa ruling ya nini kifanyike, Ila hapo ni naongelea zenye kuweza kutafuna mfupa siyo za kubugia uji

Britanicca
Hapana.

Mahakama haiwezi kutoa hukumu kuhusu jinsi Bunge linavyojiendesha.

Because of "separation of powers".

Hilo ni suala lililo chini ya muhimili wa Bunge, chini ya Spika.

Mahakama itasema "Hili ni suala lililo chini ya Bunge, Mahakama haiwezi kuhukumu. Rudisheni shauri hili Bungeni"
 
Huyo wakili wa tatu ndiyo kishajihukumu mwenyewe kisheria, kuwa Spika hashitakiwi. Eti atayaongelea mbele huko, Hapo kuna mbele ipi nyingine? Anawadanganya wajinga ndiyo waliwao.

kama haiyoshi, nini kimefanya huyo wakili wa tatu kunyoa nyusi namna hiyo? Muendelezo wa wale wale.

Huyo na mpina ni chama kikundi kimoja, hakuna shaka. Kama mnakumbuka mina alivyowapima samaki kwa rula, kuna wabunge wakataka wabunge wote wapimwe marinda( astakafullahi111) bungeni. Kama mlikuwa hamuelewi alilengwa nani baada ya kuwapima samaki kwa rula, sasa mnaelewa.

Huyo wakili hizo nyusi alivyonyowa ni kama mishangazi ile ya mipasho na anavyorembuwa maho, kuliko wenye macho yao.

Huyo ndiyo kishashindwa kabisa.

Wanatutowa kwenye mstari wakati kuna vitu vya maana sasa hivi.
Punguza haraka na andika kwa umakini. Kwani umefundishwa ujinga?
 
Hata kama matokeo hayatatoka leo ama kesho ama hayatatoka in favor ya Mpina, napenda courage yake, napenda fighting spirit ndani yake. Mpina ana ile kitu inaitwa intestinal and testicular fortitude. Sio mtu wa kukubali kushindwa kirahisi.
Anajilinda vipi dhidi ya watu wasiojulikana.
 
Mawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.

Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki ya kuwakilisha wananchi wa kisesa na watanzania wote kwa vikao 15 Bungeni ambapo msingi wa kesi yake anaamini ameonewa kwa kuondolewa kinyume cha Sheria.

Aidha, Mpina anaamini hatua za kuchukuliwa dhidi yake zilikuwa zimepangwa hata kabla ya yeye kusikilizwa.

Hadi sasa, zaidi ya Mawakili 100 wamejitolea kumsaidia Mpina kwenye kesi hii.

Pia soma

Sinema zetu hakika ni za kwetu
 
Hapana.

Mahakama haiwezi kutoa hukumu kuhusu jinsi Bunge linavyojiendesha.

Because of "separation of powers".

Hilo ni suala lililo chini ya muhimili wa Bunge, chini ya Spika.

Mahakama itasema "Hili ni suala lililo chini ya Bunge, Mahakama haiwezi kuhukumu. Rudisheni shauri hili Bungeni"
Je huna kumbukumbu SERIKALI kushtakiwa mahakamani? Je SERIKALI si mihimili ?
 
je hapa linashtakiwa Bunge au Tulia kama spika au Tulia kama Tulia. Mbona kuna watu waliwahi kuishtaki mihimili mingine km Serikali na kuomba fidia. Wacha tuone legal complications.
 
Je huna kumbukumbu SERIKALI kushtakiwa mahakamani? Je SERIKALI si mihimili ?
Mkuu,

Hata Spika anaweza kushtakiwa mahakamani.

Akipigana na jirani yake mtaani anaweza kushtakiwa mahakamani.

Tatizo hapa shauri linahusu uendeshwaji wa Bunge. Mahakama haiwezi kuhukumu suala la uendeshwaji wa Bunge. Hilo ni suala la Bunge. Kuna precedent tayari, Mahakama ishakataa hizi kesi za beef za Bungeni, ikasema hayo mambo ya Bunge yamalizeni Bungeni.

Mahakama pia haiwezi kusikiliza kesi ya kumshitaki rais kateua au katengua mtu kwenye uteuzi wa serikali, Rais ana mamlaka yote kuhusu hilo na mahakama haiwezi kumuingilia.

Same thing kwa Spika. Hakuna kesi ya shauri la Spika anavyoendesha Bunge ambayo itatolewa hukumu na mahakama. Hukumu hiyo itaingilia uhuru wa Bunge na kuharibu kanuni ya separation of powers.
 
Yes inaweza toa ndo maana kuna kitu cha chek and balance, ndo maana waziri anayetokana na Serikali anaweza wajibishwa na Mahakama au wakatoa ruling ya nini kifanyike, Ila hapo ni naongelea zenye kuweza kutafuna mfupa siyo za kubugia uji

Britanicca
Mzee wa kwa madiba upo

Ova
 
Mkuu,

Hata Spika anaweza kushtakiwa mahakamani.

Akipigana na jirani yake mtaani anaweza kushtakiwa mahakamani.

Tatizo hapa shauri linahusu uendeshwaji wa Bunge. Mahakama haiwezi kuhukumu suala la uendeshwaji wa Bunge. Hilo ni suala la Bunge. Kuna precedent tayari, Mahakama ishakataa hizi kesi za beef za Bungeni, ikasema hayo mambo ya Bunge yamalizeni Bungeni.

Mahakama pia haiwezi kusikiliza kesi ya kumshitaki rais kateua au katengua mtu kwenye uteuzi wa serikali, Rais ana mamlaka yote kuhusu hilo na mahakama haiwezi kumuingilia.

Same thing kwa Spika. Hakuna kesi ya shauri la Spika anavyoendesha Bunge ambayo itatolewa hukumu na mahakama. Hukumu hiyo itaingilia uhuru wa Bunge na kuharibu kanuni ya separation of powers.
Kwan Kesi ya MPINA Kwa Spika ni juu ya Adhabu, au Kanuni na Sheria ambazo zilikiukwa katika kufikia Hukumu hiyo??.

Na kama Kanuni na Sheria zinakiukwa na Bunge, ni nani hasa Sasa mwenye MAMLAKA ya kuzitafasiri ?.

Swali la Mwisho, mawakili zaidi ya 100, Hawa wote Hilo hawalijui kiasi kwamba Kiranga ndio unalijua pekeako??. 🤣
 
Sisi kina hohehahe tukae pembeni, tule popcorn na soda bardiii.
Hii kesi ni ya:
WATUNGA SHERIA Vs WATAFSIRI SHERIA.
 
Back
Top Bottom