Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Upuuzi umejaa Tanzania hii.Mahakama inafuata sheria. Usifanye kosa la kuchanganya sheria na haki.
Mahakama zishawahi kutupa kesi za mashauri ya bunge kwa msingi wa kutenganisha nguvu za Bunge na Mahakama.
Nimeuliza swali hujanijibu, sijui kama hata umelielewa.
Mahakama haiingilii Bunge. Hii ni mihimili tofauti na yote inajitegemea. Sijui watu hawaelewi hii kanuni au vipi?
Hii kesi ya Spika na masuala ya Bunge linavyoendeshwa itasikilizwaje na Mahakama bila Mahakama kuingilia uhuru wa Bunge?
Huoni kwamba Mpina alitakiwa kwenda Bungeni na kuweka motion ya kumpigia Spika kura ya kukosa imani, Spika awe impeached? Wabunge wamalize mambo yao Bungeni bila ya kuingia kwenye mtego wa kupeleka kesi Mahakamani halafu Mahakama ikatae kusikikiza kesi kwa sababu ni jambo la uendeshwaji wa Bunge, na Mahakama haiwezi kuingilia mambo ya uendeshwaji wa Bunge?
Ni kweli wanaweza kumfanya hivo, ila wajue ipo sehemu tunaelekea, na kwa kufanya hivyo watakuwa wanatusogeza kwa mwendo wa kasi bila ghasi.Wasi wasi wangu huyu Ngosha watu wa usalama wanaweza kumfanya kitu kibaya sawa na Dr Ulimboka miaka ile ya awamu ya nne.
Ni kama ana chuki dhidi ya SSH ni kama haamini kuwa JPM hayupo tena pale ikulu.
Aliposhughulikiwa yule Dr nini kilifanyika?. Serikali inafanya mengi sana na yanagusa moja kwa moja maisha ya mtu mmoja mmoja.Ni kweli wanaweza kumfanya hivo, ila wajue ipo sehemu tunaelekea, na kwa kufanya hivyo watakuwa wanatusogeza kwa mwendo wa kasi bila ghasi.
Kesi ya Mpina ni kuhusu nini?Kwan Kesi ya MPINA Kwa Spika ni juu ya Adhabu, au Kanuni na Sheria ambazo zilikiukwa katika kufikia Hukumu hiyo??.
Na kama Kanuni na Sheria zinakiukwa na Bunge, ni nani hasa Sasa mwenye MAMLAKA ya kuzitafasiri ?.
Swali la Mwisho, mawakili zaidi ya 100, Hawa wote Hilo hawalijui kiasi kwamba Kiranga ndio unalijua pekeako??. 🤣
Mkuu kumbuka mchakato wote wa ndani ya Bunge ulishafanyika kwahiyo kwa mujibu wa katiba yetu chombo pekee chenye uwezo wa kutoa haki na chenye uamuzi wa mwisho ni mahakama.Inawezekana ni sahihi kufungua kesi mahakamani, hilo si swali langu, na wala sijapinga hilo.
Nilichouliza ni kwamba, Mahakama inaweza kusikiliza kesi na kutoa hukumu ya kuhusu shauri la Bunge lilivyojiendesha lenyewe, kwa kuzingatia kuwa Mahakama haitakiwi kuingilia shauri la Bunge linavyojiendesha, kwa sababu kusikiliza na kuhukumu mashauri ya hivyo kutakuwa ni kuingilia uhuru wa Bunge kujiendesha lenyewe?
Huoni kwamba hii kesi itatupiliwa mbali na Mahakama, na Mahakama itasema "Hili ni jambo lenu la Bungeni, mna utaratibu wenu wa kumaliza mashauri yenu ya Bungeni, sisi Mahakama hatutakiwi kuingilia mashauri yenu ya jinsi mnavyoendesha Bunge kwa sababu kufanya hivyo kutaingilia uhuru wa Bunge na kuharibu kanuni za separation of powers"?
Huoni kuwa kesi itatupiliwa mbali kwa mantiki hii?
HUYU JAMAA ANASHINDA KESI WAPENDWAMawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki ya kuwakilisha wananchi wa kisesa na watanzania wote kwa vikao 15 Bungeni ambapo msingi wa kesi yake anaamini ameonewa kwa kuondolewa kinyume cha Sheria.
Aidha, Mpina anaamini hatua za kuchukuliwa dhidi yake zilikuwa zimepangwa hata kabla ya yeye kusikilizwa.
Hadi sasa, zaidi ya Mawakili 100 wamejitolea kumsaidia Mpina kwenye kesi hii.
===
Kesi (ya kupitia uhalali wa kisheria kuhusu utolewaji wa vibali vya kuagiza sukari) imefunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam ambapo mdai ni ndugu Luhaga Mpina, ambao anawashtaki ni Waziri wa Kilimo, Bodi ya Sukari, viwanda vya ITEL, Zenji Industries, Waziri wa Fedha ambaye yeye anashtakiwa kwa kutoa misahama ya kodi ya VAT (Kodi ya Ongezeko la Thamani) ambapo Mpina anadai hata taarifa ya msamaha wa kodi haikuchapishwa katika gazeti la serikali, lakini pia Mpina amemshtaki Kamishina Mkuu wa TRA kwa kutokudai na kukusanya kodi kwa watu waliopewa vibali vya kuagiza sukari lakini wa mwisho kushtakiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, shauri hilo liko mahakamani tayari.
Pia soma
Hahaha! Dah! Na hayo mengine huwa unayafuatilia hadi mwisho?Hii nchi kila siku kuna jambo jipya, haya ngoja tufuatilie na hili
Haya ndiyo mambo tunatakiwa kubwa busy nayo na story za Simba na YangaMawakili wa Luhaga Mpina wanazungumza na waandishi wa habari muda huu.
Pamoja na nambo mengine, mawakili hao wamesema mojawapo ya kesi zilizofunguliwa ni ile anayomshtaki Spika wa Bunge na Mwanasheria mkuu wa Serikali kwa kunyang'anywa na kunyimwa haki ya kuwakilisha wananchi wa kisesa na watanzania wote kwa vikao 15 Bungeni ambapo msingi wa kesi yake anaamini ameonewa kwa kuondolewa kinyume cha Sheria.
Aidha, Mpina anaamini hatua za kuchukuliwa dhidi yake zilikuwa zimepangwa hata kabla ya yeye kusikilizwa.
Hadi sasa, zaidi ya Mawakili 100 wamejitolea kumsaidia Mpina kwenye kesi hii.
===
Kesi (ya kupitia uhalali wa kisheria kuhusu utolewaji wa vibali vya kuagiza sukari) imefunguliwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam ambapo mdai ni ndugu Luhaga Mpina, ambao anawashtaki ni Waziri wa Kilimo, Bodi ya Sukari, viwanda vya ITEL, Zenji Industries, Waziri wa Fedha ambaye yeye anashtakiwa kwa kutoa misahama ya kodi ya VAT (Kodi ya Ongezeko la Thamani) ambapo Mpina anadai hata taarifa ya msamaha wa kodi haikuchapishwa katika gazeti la serikali, lakini pia Mpina amemshtaki Kamishina Mkuu wa TRA kwa kutokudai na kukusanya kodi kwa watu waliopewa vibali vya kuagiza sukari lakini wa mwisho kushtakiwa ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, shauri hilo liko mahakamani tayari.
Pia soma
CCM ni zaidi ya shetaniTutafika tu mzee. Hawa umbwa wa CCM ni lazima kuwakabia kwa juu, wasipumue...
Idadi sio issue, hata wewe nyumbani kwako unaweza kuwa na mbuzi au kondoo 10000, lakini hawawezi kukutisha, hizo kesi zinasaidia academics tu, hakuna namna mahakama itaingilia BungeKwahiyo More than ya mawakili 100 , hawajui Sheria linapokuja suala la Bunge?.
Ila wee chiembe ndio unajua ?
Toa upuuzi wako.
Hakuna wabunge pale kuna kusanyiko la majangili tupuShida ni kuwa ana hoja nzuri cha kushangaza wabunge woote kimyaaa!!!!
Mahakama yenyewe ni shina la CCMIdadi sio issue, hata wewe nyumbani kwako unaweza kuwa na mbuzi au kondoo 10000, lakini hawawezi kukutisha, hizo kesi zinasaidia academics tu, hakuna namna mahakama itaingilia Bunge
DuuhHakuna wabunge pale kuna kusanyiko la majangili tupu
Mfano Rais yupo muhimili wa Executive ambapo mwajiriwa aliyefukuzwa kazi na mwajiri wake anaweza kuanzia ngazi za usuluhishi kama CMA akakata rufaa hadi kwa Rais akitka arejeshwe kazini lakini Rais anaweza kushikilia msimamo wa mtu huyo kutorejeshwa kazini.Inawezekana ni sahihi kufungua kesi mahakamani, hilo si swali langu, na wala sijapinga hilo.
Nilichouliza ni kwamba, Mahakama inaweza kusikiliza kesi na kutoa hukumu ya kuhusu shauri la Bunge lilivyojiendesha lenyewe, kwa kuzingatia kuwa Mahakama haitakiwi kuingilia shauri la Bunge linavyojiendesha, kwa sababu kusikiliza na kuhukumu mashauri ya hivyo kutakuwa ni kuingilia uhuru wa Bunge kujiendesha lenyewe?
Huoni kwamba hii kesi itatupiliwa mbali na Mahakama, na Mahakama itasema "Hili ni jambo lenu la Bungeni, mna utaratibu wenu wa kumaliza mashauri yenu ya Bungeni, sisi Mahakama hatutakiwi kuingilia mashauri yenu ya jinsi mnavyoendesha Bunge kwa sababu kufanya hivyo kutaingilia uhuru wa Bunge na kuharibu kanuni za separation of powers"?
Huoni kuwa kesi itatupiliwa mbali kwa mantiki hii?
Pale lile ni kusanyiko la mashetani tupuDuuh
Kwa nini Watanzania wengi inaonekana hawaelewi hii point ya msingi kabisa?Idadi sio issue, hata wewe nyumbani kwako unaweza kuwa na mbuzi au kondoo 10000, lakini hawawezi kukutisha, hizo kesi zinasaidia academics tu, hakuna namna mahakama itaingilia Bunge
Mahakama zenyewe zinasikilizia Rais ameamkaje siku hiyo hizo nazo ni Mahakama?Mfano Rais yupo muhimili wa Executive ambapo mwajiriwa aliyefukuzwa kazi na mwajiri wake anaweza kuanzia ngazi za usuluhishi kama CMA akakata rufaa hadi kwa Rais akitka arejeshwe kazini lakini Rais anaweza kushikilia msimamo wa mtu huyo kutorejeshwa kazini.
Mtu huyo akienda mahakamani (Labour division) kudai haki yake ya kurejeshwa kazini haina maana kwamba mahakama itakataa kusikiliza shauri lake kisa tu muhimili mwingine ulishamfukuza kazi.
Shauri litasikilizwa na kama mtu huyo ana haki basi atarejeshwa kazini.
Rejea mamlaka ya kuteua ambayo yapo vested to the President.
Rais anaweza kumteua mtu yeyote kushika madaraka ya ofisi yoyote ya umma lakini kama kuna ukiukwaji uliofanyika kwenye zoezi zima la uteuzi labda mtu huyo kukosa sifa fulani basi mtu yeyote anaweza kwenda mahakamani kupinga uteuzi huo.
Rejea kesi ya Addo Shaibu dhidi ya Rais Magufuli na mwanasheria mkuu wa serikali ambapo Addo Shaibu alipinga uteuzi wa Ardelarus Kilangi kuteuliwa kuwa mwanasheria mkuu wa serikali.