Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Undisputed luhaga mpina. A man with brass balls among all mbogamboga comrades.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi huyu WAJUMBE wameshamla kichwa huyu! johnthebaptist au nadanganya John?Haya ndiyo mapokezi ya jemedari ngosha luhaga kutoka simiyu. Ama kweli wapiga kura wake wanaelewa anachokifanya.
View attachment 3059788
Alichofanya speaker tulia ackson kufunika kombe wanaharamu wapite ni kudhoofisha ccm mbele ya umma wa wananchi. Amekingia kifua fisadi kama alivyofanya hila kupitisha bungeni fasta mkataba wa kuuza bandari zetuHaya ndiyo mapokezi ya jemedari ngosha luhaga kutoka simiyu. Ama kweli wapiga kura wake wanaelewa anachokifanya.
View attachment 3059788
Ana kitu huyu, alindwe, atafika mbali.Haya ndiyo mapokezi ya jemedari ngosha luhaga kutoka simiyu. Ama kweli wapiga kura wake wanaelewa anachokifanya.
View attachment 3059788
Huyo atapokelewa na wazee wa kijiwe cha kahawa pale BBC uwanja wa mpiraTupeleke na Nzega tuone
Hao wanaomshangilia wananufaika na nini kutoka kwake
Alikuwa anatoka wapi? Hawa ndio wabunge wanaoishi Dar es salaam, angekuwa anaishi na wapiga kura wake, asingepokelewa.
Anatokea bungeni 😃Alikuwa anatoka wapi? Hawa ndio wabunge wanaoishi Dar es salaam, angekuwa anaishi na wapiga kura wake, asingepokelewa.
Staged events
Hebu kajaribu na wewe ku'stage' ya kwako tuione hiyo 'staging' itakavyo tokea.Alikuwa anatoka wapi? Hawa ndio wabunge wanaoishi Dar es salaam, angekuwa anaishi na wapiga kura wake, asingepokelewa.
Staged events
P...!!?
Hawana Evilspirit dhidi yakeHao wanaomshangilia wananufaika na nini kutoka kwake
Wivu kwa mkeo inatosha dogo, unakuwa na wivu kwa mwanaume mwenzako? Umeanza kuwa poyoyo?Alikuwa anatoka wapi? Hawa ndio wabunge wanaoishi Dar es salaam, angekuwa anaishi na wapiga kura wake, asingepokelewa.
Staged events
Bunge limemaliza vikao muda mrefu, yeye alikuwa wapi? Ilitarajiwa awe jimboni muda wote, wabunge waliorudi majimboni huwezi kuwasikia wanpokelewa kwa sababu kila siku wako hapohapoHebu kajaribu na wewe ku'stage' ya kwako tuione hiyo 'staging' itakavyo tokea.
Hii ni aibu kubwa mno kwa Betina na chura kiziwiHaya ndiyo mapokezi ya jemedari ngosha luhaga kutoka simiyu. Ama kweli wapiga kura wake wanaelewa anachokifanya.
View attachment 3059788