Luhaga Mpina apokelewa na maelfu ya Wananchi jimboni kwake Kisesa, CHADEMA na ACT Wazalendo washiriki Mapokezi Wakiongozwa na CCM

Luhaga Mpina apokelewa na maelfu ya Wananchi jimboni kwake Kisesa, CHADEMA na ACT Wazalendo washiriki Mapokezi Wakiongozwa na CCM

Undisputed luhaga mpina. A man with brass balls among all mbogamboga comrades.
 
Haya ndiyo mapokezi ya jemedari ngosha luhaga kutoka simiyu. Ama kweli wapiga kura wake wanaelewa anachokifanya.
View attachment 3059788
Alichofanya speaker tulia ackson kufunika kombe wanaharamu wapite ni kudhoofisha ccm mbele ya umma wa wananchi. Amekingia kifua fisadi kama alivyofanya hila kupitisha bungeni fasta mkataba wa kuuza bandari zetu
 
Hao wanaomshangilia wananufaika na nini kutoka kwake
 
Alikuwa anatoka wapi? Hawa ndio wabunge wanaoishi Dar es salaam, angekuwa anaishi na wapiga kura wake, asingepokelewa.

Staged events
Hebu kajaribu na wewe ku'stage' ya kwako tuione hiyo 'staging' itakavyo tokea.
 
Alikuwa anatoka wapi? Hawa ndio wabunge wanaoishi Dar es salaam, angekuwa anaishi na wapiga kura wake, asingepokelewa.

Staged events
Wivu kwa mkeo inatosha dogo, unakuwa na wivu kwa mwanaume mwenzako? Umeanza kuwa poyoyo?
 
Hebu kajaribu na wewe ku'stage' ya kwako tuione hiyo 'staging' itakavyo tokea.
Bunge limemaliza vikao muda mrefu, yeye alikuwa wapi? Ilitarajiwa awe jimboni muda wote, wabunge waliorudi majimboni huwezi kuwasikia wanpokelewa kwa sababu kila siku wako hapohapo
 
Hahaha Chadema na ACT wako wapi mbona wanaonekana CCM peke yao? au CHADEMA na act walikuwa nyuma ya kamera?
 
Back
Top Bottom