Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Mpina ni Mwanachadema.Safi sana!
Sasa Katiba Mpya imeanza kudaiwa na wana CCM wenyewe.
Ni mbunge wa jimbo gani kwa tiketi ya Chama gani?Mpina ni Mwanachadema.
Upo nchi gani?Ni mbunge wa jimbo gani kwa tiketi ya Chama gani?
Au unajitoa tu ufahamu?
Ndo jibu la swali uliloulizwa?Upo nchi gani?
Jitahidi kufuatilia mambo kwa wakati. Mheshimiwa Luhaga Mpina ametangaza kuachana na CCM usiku huu na kuhamia CHADEMA.Ndo jibu la swali uliloulizwa?
Nakumbuka mzee warioba alipomaliza kuwasilisha rasimu ya katiba mpya; wabunge wa ccm wengi walisimama na kumpongeza.Sijui kilitokea nini baadaye hawa jamaa kuweka mpira kwapani.Hakuna ushahidi kwamba k/mpya ndiyo kushinda uchaguzi kwa chadema au ccm bali ni ushindi wa maamuzi ya wananchiAdai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.
Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.
Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
Mpina siyo nyumbu, ni mwana UDP yuko na Cheyo.Mpina ni Mwanachadema.
Upo nchi gani!!?Mpina siyo nyumbu, ni mwana UDP yuko na Cheyo.
Nchi ya Zanzibar.Upo nchi gani!!?
Sawa.Nchi ya Zanzibar.