Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

Luhaga Mpina ataka Katiba mpya inayolinda Rasilimali za Nchi

Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.

Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.

Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
Uchawa ni kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima data
 
Chanzo Cha habari mkuu?
Au hakuna la video?

Mpina alindwe ana kitu atafika mbali

Mkuu samaleko lakini
Mkuu Yuko laivu, Jamaa anasusha nondo hii inaitwa fungua Mwaka, anagusia kila kitu , narudia anagusia Kila kitu unachokijua wewe chenye masilahi na Taifa.
 
Nakumbuka mzee warioba alipomaliza kuwasilisha rasimu ya katiba mpya; wabunge wa ccm wengi walisimama na kumpongeza.Sijui kilitokea nini baadaye hawa jamaa kuweka mpira kwapani.Hakuna ushahidi kwamba k/mpya ndiyo kushinda uchaguzi kwa chadema au ccm bali ni ushindi wa maamuzi ya wananchi
mzee wa msoga ndiye janga wa hili taifa kwa sasa
 
Huyu mpina hatumfukuzi huku CCM, labda aamue kuondoka mwenyewe. Hii mitego ni ya kitoto sana.
 
Mkuu Yuko laivu, Jamaa anasusha nondo hii inaitwa fungua Mwaka, anagusia kila kitu , narudia anagusia Kila kitu unachokijua wewe chenye masilahi na Taifa.
Mkuu hujajibu salamu .... Samalekoooo
Huyo Mpina alindweeeee sana
Ni hazina hiyo
 
Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.

Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.

Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
Kama unaamini hivyo, basi wewe ni mshamba wa siasa za Tanzania.
 
Anaefikiri Mpira yuko peke yake, ajjue uwezo wake wa kufikiri, kutafakari na kuchambua mambo uko chini sana.
 
Back
Top Bottom