Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Uchawa ni kuahirisha kufikiri kizalendo a.k.a kujizima dataAdai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.
Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.
Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
Mkuu Yuko laivu, Jamaa anasusha nondo hii inaitwa fungua Mwaka, anagusia kila kitu , narudia anagusia Kila kitu unachokijua wewe chenye masilahi na Taifa.Chanzo Cha habari mkuu?
Au hakuna la video?
Mpina alindwe ana kitu atafika mbali
Mkuu samaleko lakini
mzee wa msoga ndiye janga wa hili taifa kwa sasaNakumbuka mzee warioba alipomaliza kuwasilisha rasimu ya katiba mpya; wabunge wa ccm wengi walisimama na kumpongeza.Sijui kilitokea nini baadaye hawa jamaa kuweka mpira kwapani.Hakuna ushahidi kwamba k/mpya ndiyo kushinda uchaguzi kwa chadema au ccm bali ni ushindi wa maamuzi ya wananchi
Mwana ccm mwenyewe ambaye kapoteza matumaini ya ubungeSafi sana!
Sasa Katiba Mpya imeanza kudaiwa na wana CCM wenyewe.
Nadhani kisesa kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ngoja ni google hahapa nimepata, kikikikiNi mbunge wa jimbo gani kwa tiketi ya Chama gani?
Au unajitoa tu ufahamu?
Mkuu hujajibu salamu .... SamalekooooMkuu Yuko laivu, Jamaa anasusha nondo hii inaitwa fungua Mwaka, anagusia kila kitu , narudia anagusia Kila kitu unachokijua wewe chenye masilahi na Taifa.
Huyu ataondoka mwenyewe maana hata form yake ya kutia nia ubunge haitakubaliwaHuyu mpina hatumfukuzi huku CCM, labda aamue kuondoka mwenyewe. Hii mitego ni ya kitoto sana.
Kama unaamini hivyo, basi wewe ni mshamba wa siasa za Tanzania.Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.
Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.
Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
Duniani hapa ni kawaida, watu wajinga huwa hawapendi kua karibu na werevu.Huyu ataondoka mwenyewe maana hata form yake ya kutia nia ubunge haitakubaliwa
Bila mboko haitawezekana,Katiba bila damu,ccm hawawez kukubali
Ujumbe umefikaAnaefikiri Mpira yuko peke yake, ajjue uwezo wake wa kufikiri, kutafakari na kuchambua mambo uko chini sana.
NamanyereUpo nchi gani?