Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Walivyo wapumbavu wanaficha nje ya nchi. Na wengine kufanya mambo ya hovyo kama kutoka na mademu na machoko.
Ni upumbavu mkubwa uliopo sasa.
Mungu tu ndie atakayetuokoa
Yaani tramp akishikilia hapo hapo kuna mwezi baazi ya wafanyakazi wa serikali wataidai serikal mshahara
 
Wewe ndo mpumbavu wa kutisha, yaani mnajifanya mnatetea hata mambo ya kijinga yanayofanywa na viongozi kutoka chama chenu. Hivi hayo mataifa uliyoyataja hapo juu unadhani deliverance ya hiyo mikopo inaendana na mikopo anayokopa mama yenu ili ajenge matundu ya vyoo. Ni aibu kwa taifa kubwa kama hili lenye rasilimali kila idara mpaka leo watoto wa shule katika level za msingi na sekondari kukaa chini wakati tuna misitu ya kutosha. Ni upumbavu wa kiwango cha juu kukopa ili ununue uchaguzi wa chama cha upinzani na angalieni mama yenu anavyowekeza huko kwao huku wananchi wakifa kwa kukosa dawa ya malaria na maradhi mengineyo yanayotibika.

Acheni uchawa na uzuzu kwa mambo ya msingi taifa hili litakuwepo hata wajukuu wa wajukuu zako watakapokuwa na miaka 100 wakiwa walishafukiwa hivyo ni upumbavu kutetea kwa ufujaji mkubwa wa rasilimali za watanzania.
 
Trillion 3.3 zimetoloshwa kila mwaka ila itakuwa ni Zaidi ya hizo
 
Uchawa ndio nini wewe mpumbavu?

Kwani ukikopa ukajenga vyoo Kuna tatizo gani?

Kuna Rais anaeweza lingana na Samia.kwa deliverance? Kwanza Watoto walikuwa wanakaa chini enzi za awamu ya 5-1 ,Kwa Sasa hawakai chini na Wala hakuna kuchangisha mtu,shule zinajengwa za kutosha na zikiwa na mezani kabisa.

View: https://x.com/JafferMahmud/status/1884858137573785648?t=mdyBzSCzNABqBU013aZpPQ&s=19
Kwa nini wewe usitumie hizo Rasilimali kujitajirisha Ili Serikali ichukue Kodi kutoka kwako?

Mwisho Rasilimali kuu ya Nchi ni watu Sasa kama watu wenyewe ni wapumbavu kama wewe Nchi Ina hasara kubwa.πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DFa1wlCKZns/?igsh=bXFncDgwa2F5MDNu
 
Yaani taifa likiendelea kuwa na majinga ya level zako hizi rasilimali zilizopo zitaisha kijinga sana. Mapumbavu kama nyinyi sijui huwa mnazaliwa na nani na sijui mnafikiria kwa kutumia nadhani tundu lile la nyuma. Wapumbavu kama ninyi ndo mnampa mwanya huyu mama kutumia hovyo rasilimali za taifa kwa sababu hamjielewi. Wazazi wako wana hasara sana kuwa na tutusa kama wewe
 
Huwa tunazaliwa na mom wako aliyemimbishwa akiwa Barmaid.

Rasilimali gani ambazo zitaisha? Rasilimali zinazotumiwa hovyo ni kama zipi wewe punguani?

Jibu hoja Wacha kuvuja povu la upumbavu.

Kiburi anatoa huku πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://x.com/BloombergAfrica/status/1884864677408055360?t=HXfwf_nes6V9Q-yQGQGZTg&s=19
 
Ukitafuta watu wenye udumavu wa akili ww hukosekani.
 
Jitaidi kufikiria acha ushabikii ndugu yangu... Wenzetu mkopo yao ipo strategically sio kama ivi tunatumia fedha za mikopo kufanya vitu ambavyo ni liabilities kama madarasa na vitu vingine ambavyo havina uwezo wa kurudisha fedha iliyo tumika kuvi employ Kwa wakati..

Generally..

"Umaskini ni kutumia ZAIDI ya unavyo ingiza" ..
Mh. Rais katuletea umaskini Tanzania
 
Yan
Hivi ela za kununua magoli na zile 700ml za taifa stars zinatokaga wapi,? any way si wamilizie izo 4 ili iwe 100 wagawane vizuri keki ya taifa
Million mia saba (700M) Ina nunua Magori alafu hospitali ya Jiji la Dar es salaam inakosa groves na mikasi ya kuwa saidia wa mama wajawazito ..
Inasikitisha sana.
 
Kwani sisi mikopo yetu haipo strategic? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DE_CHgnNvZ9/?igsh=MXNiMnJwcWl4OW5rMQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…