ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Kwani saizi Nchi imeshindwa kulipa madeni ya kina Nyerere na Mwinyi,JK na Magufuli?kulipa hayo madeni
Kwa nini Washindwe kwani Nchi Iko stagnant?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani saizi Nchi imeshindwa kulipa madeni ya kina Nyerere na Mwinyi,JK na Magufuli?kulipa hayo madeni
Hatua za kufanyaje? Au mnaenda kutumika kama wajingaWakuu vijana lazima tufanye namna wakati huu tusiishie tu kulalama mtandaoni... Lazima sasa tuamke na kuchukua hatua. #Say no to emptyheaded leaders
Mtalipa tuu kwani Zenj ni Burundi?Unakuta madeni ya zenji nayo tunalipa sisi watanganyika!
🙄🙄 Huoni Hadi umeme,Kila kitu unachokiona n kutumia huko.uliko kililetwa na mvua au siyo? 😂😂👇👇Hivi wanafanya kazi gani na hizo pesa maana hatuoni umeme ndio uho
Ukisikia kama Mbwai na iwe mbwai basi Tz ina watu... nani wakumpoteza kinuke maana sio kila dam inakubali mwagika... yaani ukisikia JPM alikuwa na wafia dini Mpina namba moja mwingine ako amelala ilakwanmna yeyote anamlinda kijana hapa ndio ile nadharia niguse unase. Shikamoo Mh Mpina
Mada ni Tanzania sio USA.
Mbona unalazimisha unachokitaka kichwani kwako ndio.kiwe? Kwani CCM Haina hela za kununua pikipiki,magari nk? Wameanza Leo kununua?
Hayo ya kina Mwamposa sijui Samia Legal Aid campaign hayana uthibitisho,Kwa Mwamposa mnaenda wenyewe kununua maji.
Kwamba Mwamposa ni mbaya kisa hawaungi mkono ila Bagonza na Kitine wako sawa Kwa sababu wanawaunga mkono si ndio? 😂😂😂😂
Madeni yanafanya kazi zifuatazo 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DFaypnhtvXQ/?igsh=MXh5ZTF2MWR6Nmc4eQ==
Kimsingi nyie nyumbu wa Chadomo hamna hoja ya kujadiliana na Mimi
Bora waigawe kila mtu akajitafutie Maendeleo 🤣🤣Hii trillion 32+ mbona haina impact kwenye maisha ya mtanzania, trilioni 32+ kwa tanzania ni nyingi mnoo
Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 .
View: https://www.youtube.com/live/rwIdf9x54HE?si=7DqEJdRObXwam_J4
Mwamposa alipewa hela kiasi gani na zilitamkwa za nini?.maana Viongozi wengi tuu wa dini wanapewa za ujenzi ,sadaka nk hapo shida Iko wapi? Wangepewa kina Mwamakula,Bagonza,Kitine hapo ni sawa 😂😂Hiyo USA uliileta mwenyewe kujaribu kuunga unga utetezi wako uchwala, nimekujibu kuhusu USA uliowataja mwenyewe, sasa hivi unasema mada ni Tanzania sio USA, una kili timamu kweli?
Sasa samia legal aid inatoa wapi hela, kwamba mkuu wa nchi ambae unasimamia utungaji wa sheria na utekelezaji wake, unalipia wananchi msaada wa kisheria kupambana na sheria ulizotunga mwenyewe? Aisee.
Leo unasema mwamposa hakuna ushahidi? Hela alizopewa mwamposa kwenye mkesha wake live hazina ushahidi? Hapa hoja sio watu kwenda wenyewe, shida ni hela za walipa kodi kutumika hovyo hovyo. Huku wazazi wanakufa kwa kukosa huduma muhimu hospitalini miaka 64 ya uhuru chini ya majani mabichi, halafu hela wanapewa kina Masanja, Mwamposa, kiboko ya wachawi nk. Majani hawana vipaumbele, miaka 64 nchi bado unaomba msaada wa vyoo kweli?
Hapo hapo alipo anafaa, haina haja ya kumvuta upande wa pili. Kama unaelewa kijasusi mambo yatakuwajeDespite sijawahi mkubali Mpina kwa unafiki wake enzi za JPM kutekea mikopo na leo anaigeuka. Ila kuiondoa CCM inahitaji joint efforts, ni vizuri chadema wamvute huyu watengeneze coalition moja matata sana kuelekea oktoba.
Sio unakuta ndio ilivyoUnakuta madeni ya zenji nayo tunalipa sisi watanganyika!
Mara 100Bora waigawe kila mtu akajitafutie Maendeleo 🤣🤣
Upinzan haita ingia kingi kirahisi, last time waliongia huko wanajuta mapaka leo. Watakuwa wapumbav kama hawatojifunzaSijui kwann akili inaniambia mpina ni project ya serikali ili upinzani umuone anafaa then wamvute.
Lisu awe makini this time around
Hii haikubariki Nchi ya Tanganyika itapigwa MnadaInakopwa trillion 10, visiwani wanachukua trillion 6 Tangagiza inachukua trillion 4 baadae deni lote linalipwa na Tangagiza