Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Duh ila kuna chawa watanganyika kabisa wanamsifia Mzanzibari eti aongoze Tanganyika mpaka 2030. Jamani chawa tuwaelimisheje ninyi ili mgundue kwamba huyo Mzanzibari hafai kuongoza Tanganyika😥😥😩
Tanganyika inazama huku tunacheka cheka tu.
 
Lucas Mwashambwa hoja kama hizi yy haelewi kitu
images (2).jpeg
 
Back
Top Bottom